Wapendwa wana jukwaa la elimu,nina maswali mengi kuhusu chimbuko la binadamu,baadhi ya maswali hayo ni , -je,chimbuko la binadamu ni arusha ? -kufuatana na elimu ya biblia tumeumbwa kwa udongo,wakati ukienda kwa wana-akiolojia wanasema chimbuko letu ni nyani kwani tunafanana nao kwa asilimia 99 ktk dna composition,ukweli ni upi?