Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Wewe cupcake wewe.....shauri yako
what again cupcake jaani eeh!..hebu fill me in basi.
BTW...Last time i did old skool party (july 4th 2008) in columbus ohio watu wengi walilalamika ok this time...nataka kama kuna mtu ana idea what we need to correct yale mapungufu yetu.... send me an email at auntkelly@hotmail.com na siyo ubabaishaji na nitajaribu kufuatiliya.
mbona unamchekeachekea sana huyo mfunga vidonda?
No simchekei!...ila namfananisha na ths african america comedian guy aliyekuwa hospitalized in south africa anaitwa nani tena yule sura yake ipo fun kama yeye mwenyewe ana hela lakini meno yake yametoka nje kidogo i dunno sijui hawezi kufix au?....do you know who i am talking about?...originally he is from Ohio

Unafurahisha sana Kelly01...lakini huyo Bwana Mkubwa Comedian anaitwa Dave Chappelle
kwa hiyo na YNIM naye ana hela? unapenda hela sana wewe binti maringo.....
Wewe ndio oganaiza?? mapungufu ni lack of single gals......jaribuni ku import...hata madomo zege kama NN wapone.....BTW...Last time i did old skool party (july 4th 2008) in columbus ohio watu wengi walilalamika ok this time...nataka kama kuna mtu ana idea what we need to correct yale mapungufu yetu.... send me an email at auntkelly@hotmail.com na siyo ubabaishaji na nitajaribu kufuatiliya.
Wewe ndio oganaiza?? mapungufu ni lack of single gals......jaribuni ku import...hata madomo zege kama NN wapone.....

a kheri mimi domo zege wewe la kwako lina ulimbo...hehehehehehe
Hell no sijasema YNIM ana hela ila nasema tuu the waya navyoongea he sound like him pia i feel like anafanana na dave chapelle....Mimi nina cupcake wangu for better for worse kama ile movie (dang leo nimekuwa slow nasahau hata jina la movie)
Movie moja hivi mtu na demu wake walipendana hadi wamekuwa really old walikuwa nursing home...very nice movie i forgot its name gain...i dunno whats wrong with me leo nakuwa so slow kufikiria..
what is ulimbo?....ni kama glue?
The way anavyoongea ana sound kama Dave Chapelle? Kwa hiyo kumbe kila siku mnapigiana simu eeeh....? Busted busted busted.....
Ngoja na mimi nimtafute diva wa kumpigia simu anaye sound kama Mariah Carey....
mtoto wa geti wewe huwezi kujua ulimbo ni nini....
fun gani kuruka ruka na kutoka majasho....fun ni kama niliyokuambia...hahahahaha! so wewe unakwenda kwenye party kutafuta wanawake hahaha umekosa kweli...wenzio wanakwenda kuhave fun and reminiscing..waala cupcake wangu hana hiccups when it comes to women sasa miye kanipataje!....??
fun gani kuruka ruka na kutoka majasho....fun ni kama niliyokuambia...
Huyo YNIM unaemtafuta alizamia harusi basi kautwika matapu tapu yu hoi....hata akija hapa sidhani kama mtaelewana lugha.....si unajua mtu akilewa anavyotema yai gumu..