Sijawahi kuwa kwenye mood mbaya hapa JF....ni wewe na watu kama wewe ndio mnafikiria hivyo!! Ninachofanya ni "snarking"(snarky)....nadhani ua unaangalia Countdown ya Keith Olbermann, Daily Show ya Jon Stewarts, Colbert Reports, Real Time (Bill Maher), Rachel Maddox na zile tonight show(s)...!? au kama unasikiliza Rush Limbaugh basi utanielewa vizuri sana mie ni mtu wa dizaini gani.....
Sipo JF kupata u-Mr. Congeniality na sipo hapa kutengeneza maadui...nipo hapa to have fun na kama siasa or whatever basi ukweli ndio usimame! Hakuna kitu kinachoitwa hoja, bali kuna kitu kinaitwa ukweli (kwamba hoja inaweza kuwa na mvuto lakini ni uongo au sio feasible).....wengi wenu mnaamini hoja ndio inashinda, wakati mie naamini ukweli ndio unashinda!! Hapo ndipo penye mgogoro na ndio maana unaniona mimi nipo kama unavyodhania wewe......YNIM ni fiction na nyuma yake kuna chalii mmoja very cool, down to earth , eazy going, loves life e.t.c kinoma! So, don't hate....
Sinywi mipombe isopimwa (mara ya mwisho kufanya hivyo ilikuwa high school) na mie sio mlevi......nadhani umefurahi!! LOL