Where is YNIM?!

Where is YNIM?!

NN,
Hivi wewe hobby yako ni nini /vitu gani!?? maana nikiangalia flow ya mazungumzo hapa, unaachwa kichizi yaani.....
.

I can answer on his behalf!...he love to watch footbal,skiing,wach movies,play soccer,talk to me,listen to music,wrestling,cars and list goes on and on!....
 
NN,
Hivi wewe hobby yako ni nini /vitu gani!?? maana nikiangalia flow ya mazungumzo hapa, unaachwa kichizi yaani.....

Balatanda,
Mie nipo tu naugulia baridi, maana tumekuwa tunapigwa snow atleast once a week toka wk ya desemba 16th, 2008!!! Yaani ikitaka kuyeyuka nyingi mupyaaa inakuja.....we acha tu.

Pole kwa baridi mazee kama vp piga yale mambo yako(pombe kali asilia) hope yatapunguza baridi...Ila usipige sana ukazidisha kipimo
 
I can answer on his behalf!...he love to watch footbal,skiing,wach movies,play soccer,talk to me,listen to music,wrestling,cars and list goes on and on!....

you forgot one thing....working out....i gotta stay in shape, you know...
 
Dang! why did i forget that one eeh!..yes and work out 5 days in a week.
mmh "you" got or "we" got...lol!

I said "I" coz u'been slacking here lately....all you want to do is just curl up on the couch and read books....
 
I said "I" coz u'been slacking here lately....all you want to do is just curl up on the couch and read books....

Ok this is the last book and i think i promised to start fresh kesho isn't that what i said?..i still weigh 129 though,no kitambi hahahaha
 
Usimkilize huyo NN mie sipingi tungi.....matter of fwact ni hamsa salawat!

hamsa salawat ndio nini sasa? hivi mbona huwa hueleweki dogo? unajua dogo hukuwa hivi zamani...hebu ongea ueleweke bana...hata Cupcake anapata shida kukuelewa...
 
na wewe una urefu gani? 5'4"....ahahahahahahaaa....cupcake akivaa stilleto zake anakupita urefu....dang....that sucks

Dang hell no 5"5 na stilleto nakuwa 5"10 namkaribia cupcake!...hahaha huyo anacheza 5"4?.....alafu huyu dogo anaweza akawa 5"2 huyu unajua cupcake wale wenye vitambi....lol!
 
Na maanisha kwamba nina sali sala tano......

Cupcake wako kasema wewe unapenda movie, hivi ni movie gani uloiona siku za hivi karibuni!??

Ameona seven pound,notorius BIG,Catch me if you can,ile recordaliyo act beyonce nimesahau inaitwaje,Taken.....and so on
 
We nae unaleta zako zipi hapa saa hii? kwikwikwi unataka kunigombanisha na NN...si unaona jinsi alivyotolea mimacho na kuniua kama hanijui!! Kaaaazi kweli..

Huyo "mnyalu" sio sampuli zangu, siunajua mie sipigi micheck famba? Anajifanya high maintenance kwikwikwi, siku si nyingi utasikia ki-baraghashia kinapita hapa cha donee la kumtoa NN lupango kwa kosa la kupiga check za kuchonga!! Tunampotezaaaaa, si unaona kaachia na midevu kama Osama ili kuzi-fool camera za bank.....LOL, analeta mambo ya sinema kwenye really life!

Eeenh kwanza umelichabo "TAKEN"??

E bwana nami pia nimelichabo TAKEN....Limetulia kimbwa,si la kitoto hata kidogo
 
Kama ni 5'5" na huo uzito wa 129lbs, basi wewe ni fat...nikitumia IBW unatakiwa ukate kama pound nne hivi!! IBM yako nayo lazima itakuwa kubwa kuliko......oooh well, hivyo vi-pound vya nyongeza vinasaidia kufanya "mdako" ufutuke flani hivi....

Anduje ni yule Yo-yo, nasikia kajamaa urefu ni 5'3"!

129lbs na urefu wa 5"5 unasema fat?..unacheza kweli wewe!..5'5 ni tall kwa mwanamke na 5'3 ni average.. ila kwa mwanaume ni very short tena emolo....
 
Kama ni 5'5" na huo uzito wa 129lbs, basi wewe ni fat...nikitumia IBW unatakiwa ukate kama pound nne hivi!! IBM yako nayo lazima itakuwa kubwa kuliko......oooh well, hivyo vi-pound vya nyongeza vinasaidia kufanya "mdako" ufutuke flani hivi....

Anduje ni yule Yo-yo, nasikia kajamaa urefu ni 5'3"!

Hehehehehe..Yo Yo 5'3 na Mwanakijiji 5'2.....eheheheheheheeee....sijui wanapataje mademu....

angalau Mwanakijiji anaweza kumwingia demu kwa kumtungia mashairi ila Yo Yo ndio sijui kabisa....yaani jamaa hana game kabisa..lol
 
Mie tolu mrefu sehemu zote nina miguu mitatu.....huwezi kunilinganisha na mwanakijiji......nafikiri msosi hevi pia umechangia kwenda hewani.......
YNIM naona leo saafi hujautwika chang'aa.....yaani unavyoandika leo kama sisi..hongera sana
 
Oh yeah...jamaa leo yuko sober....kitu ambacho ni rare sana. Angekuwa kautwanga jana sasa angekuwa bado kazima.....lakini kwa vile umemkumbusha usishangae mwezio akaenda liquor store kwenda kuchukua Henny
 
Nafikiria kuiangalia tena leo au kesho....Kelly01 hasemi kweli, there is no chance kwamba NN kaiona "Taken"! Jamaa hana life zaidi ya kupiga majungu hapa JF......

Acha kumsingizia cupcake kuwa anapiga majungu hapa jf...kudiscuss politics siyo majungu na kudiscuss economy pia siyo majungu..he does have a life very interesting life...and for the record yes ameiona TAKEN tumeenda kuiona pamoja..
 
Back
Top Bottom