Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720
tehe tehe teheteheMwambie cupcake wako anyoe hiyo midevu....mie inanikera sana, hivi na hiyo midevu akienda "uvinza" inakuwaje? I bet lazima itakuwa kero flani hivi na atahitaji toothpicks kutoa minywele ktkt ya meno....LOL
afu sasa ukute wanja la taifa halijafyekwa nyasi.....lazima atoke na rangi mbili mdomoni..hudhurungi na manjano