J Jim Member Joined Mar 7, 2008 Posts 70 Reaction score 4 May 26, 2008 #1 Hivi zilipendwa zilielekea wapi? wengine zinatukumbusha sana wakati wa rise-on na bugaluu. Tunazihitaji!
Hivi zilipendwa zilielekea wapi? wengine zinatukumbusha sana wakati wa rise-on na bugaluu. Tunazihitaji!
Freetown JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 882 Reaction score 78 May 26, 2008 #2 Jim said: Hivi zilipendwa zilielekea wapi? wengine zinatukumbusha sana wakati wa rise-on na bugaluu. Tunazihitaji! Click to expand... http://www.jambonetwork.com/jn/zilipendwa/
Jim said: Hivi zilipendwa zilielekea wapi? wengine zinatukumbusha sana wakati wa rise-on na bugaluu. Tunazihitaji! Click to expand... http://www.jambonetwork.com/jn/zilipendwa/
S sakauye Member Joined May 20, 2008 Posts 27 Reaction score 1 May 26, 2008 #3 Jim umekumbusha la maana. watuwekee link hapa ya 'zilipendwa' tuione kama zamani.
J Jim Member Joined Mar 7, 2008 Posts 70 Reaction score 4 May 26, 2008 Thread starter #4 Yah maana unajua haya mambo ya continuation ya ukapa na shida nyingi wakati mwingine ni izuri ukaamua kujiburudisha na mambo ya kale
Yah maana unajua haya mambo ya continuation ya ukapa na shida nyingi wakati mwingine ni izuri ukaamua kujiburudisha na mambo ya kale
O Ogah JF-Expert Member Joined Mar 10, 2006 Posts 6,227 Reaction score 1,553 May 27, 2008 #5 Invisible, Ina maana Zilipendwa ziliondoka na Jambo?