Where is Zilipendwa?

Where is Zilipendwa?

Jim

Member
Joined
Mar 7, 2008
Posts
70
Reaction score
4
Hivi zilipendwa zilielekea wapi? wengine zinatukumbusha sana wakati wa rise-on na bugaluu. Tunazihitaji!
 
Jim umekumbusha la maana. watuwekee link hapa ya 'zilipendwa' tuione kama zamani.
 
Yah maana unajua haya mambo ya continuation ya ukapa na shida nyingi wakati mwingine ni izuri ukaamua kujiburudisha na mambo ya kale
 
Invisible,

Ina maana Zilipendwa ziliondoka na Jambo?
 
Back
Top Bottom