Which court? Are Luos going to be the Judges?

Huo ukabila na uchungu mlio nayo utawangamiza nyinyi wenyewe. NASA iko na haki kuelekea kortini kama wanaona wamekosewa.
 
Nimecheka sana, baada ya Raila kuamua kwenda Mahakamani, wafuasi wake wanauliza, are Luos going to be the judges?

wana haki ya kuuliza maana hata hiyo electoral commission aka iebc haijawahi kuwa chini ya mtu au kabila lingine isipokuwa kikuyu tu.

ni kikuyu kikuyu kikuyu tuuu
wana haki ya kuhoji.
 
Wakikuyu ni wakenya pia! Acha umandass!
 
wana haki ya kuuliza maana hata hiyo electoral commission aka iebc haijawahi kuwa chini ya mtu au kabila lingine isipokuwa kikuyu tu.

ni kikuyu kikuyu kikuyu tuuu
wana haki ya kuhoji.
Kivuitu alikuwa mkikuyu? Ahmed Isaak Hassan alikuwa mkikuyu? Wafula Chebukati ni mkikuyu? Wacha propaganda za kishenzi wewe chuki inakuuma sana.
 
ahaaa haaa haaa
lkn siyo kwa hilo la Kikuyu kikuyu kikuyu, mbona kuna makabila mengi kwani hawana elimu ya kuongoza hiyo commission??
2007 ~ Kivuitu [Kamba]
2013 ~ Issak Hassan [Somali]
2017 ~ Chebukati [Luhya]
 
ahaaa haaa haaa
lkn siyo kwa hilo la Kikuyu kikuyu kikuyu, mbona kuna makabila mengi kwani hawana elimu ya kuongoza hiyo commission??
Wewe ni nungunungu tu hauna rafiki isipokuwa tu nungunungu wenzako!
 
Kivuitu alikuwa mkikuyu? Ahmed Isaak Hassan alikuwa mkikuyu? Wafula Chebukati ni mkikuyu? Wacha propaganda za kishenzi wewe chuki inakuuma sana.

yes they were not kikuyu. but if you are not pro kikuyu you'll never hold the office. guys open up your eyes kikuyu ndiyo wenye Kenya...... ninyi wengine ni wakenya tu.
 
Back
Top Bottom