Which court? Are Luos going to be the Judges?

Which court? Are Luos going to be the Judges?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Nimecheka sana, baada ya Raila kuamua kwenda Mahakamani, wafuasi wake wanauliza, are Luos going to be the judges?
 
wana haki ya kuuliza maana hata hiyo electoral commission aka iebc haijawahi kuwa chini ya mtu au kabila lingine isipokuwa kikuyu tu.

ni kikuyu kikuyu kikuyu tuuu
wana haki ya kuhoji.
 
Raila atasababisha mashahidi waanze kuuwawa bure! Angekubali tu yaishe!!!!
 
Raila atasababisha mashahidi waanze kuuwawa bure! Angekubali tu yaishe!!!!
Kama walivyotengeneza Mungiki na kuua wajaluo na wakalenjini, na baadae kuua mashahidi wa ICC, Naskia washaanza tena kuuawa, one by one.
Hao jamaa wana roho mbaya sana.
Lakini Raila angekubali tu angekuwa ametumia hekima sana.., sometimes you let it go while you prepare for next tournament.
 
Back
Top Bottom