Preta mi naogopa mwanamme kuwa na nywele ndefu kuliko mimi
:crying:
Hii picha ya Cousin Jeff mbona imekaa kidizaini...
me none of the above,
yeah kipara kbsaa hao hao.....
unataka hii....
View attachment 50943
wewe una dread.......?
Awe na nywele size kama ya nyani ngabu alivyokuwa katoto...
Zangu bado ziko hivyo hivyo....
Btw, how are you Amy?
hapa muweka picha ametukatili......kuna hii inaitwa zungu (upara)....hajaweka.....
ila Gaijin.......siku moja nitakwambia siri ya dreadlocks.......
me piaMe too
Hii vipi?
Nina kipara
Mimi nina kiparangoto... :glasses-nerdy:
Du hapa ule msemo wa "Mswaki wa nini wakati una jino moja" unafaa kutumika.Hii vipi?