Which Hairstyle Do You Prefer Your Man To Have?

Which Hairstyle Do You Prefer Your Man To Have?

Preta mi naogopa mwanamme kuwa na nywele ndefu kuliko mimi

:crying:

hapa muweka picha ametukatili......kuna hii inaitwa zungu (upara)....hajaweka.....
ila Gaijin.......siku moja nitakwambia siri ya dreadlocks.......

hapa muweka picha ametukatili......kuna hii inaitwa zungu (upara)....hajaweka.....
ila Gaijin.......siku moja nitakwambia siri ya dreadlocks.......

unataka hii....
1.jpg
 
Awe na nywele size kama ya nyani ngabu alivyokuwa katoto...
 
=Du hapa ule msemo wa "Mswaki wa nini wakati una jino moja" unafaa kutumika.

hiyo kali.....
 
mh!! kweli preferences, asa kila mtu kasema chake, tutajieni basi wanawake wapi wanapenda style ipi, plz
 
Back
Top Bottom