smak786110
Member
- Jan 24, 2008
- 90
- 4
Zantel sio UNLIMITED,Ya Zantel 90,000 per month, wanadai ni Unlimited lakini nasikia ni 3Gb, sina uhakika.
Zain 100,000 per month nayo iko advertised kama Unlimited, unapata 2Gb.
Voda 95,000 per month unapata 2Gb.
Zantel sio UNLIMITED,
Nina package yao ya 10GB nayo huwa inazidi na mwisho wa Mwezi naletewa bill kubwa kweli, almost Tshs 490,000 kila mwezi.
Niliwahi kutumia Benson, nilijuta na sintorudia.
Nimechukua VodaCom pia, ipo kwenye majaribio ya 4months, nimechukua package ya 10GB pia. Uzuri wa VodaCom over Zantel ni kuwa unalipia kadiri unavyotumia packages zote, Zantel hawakupi package hiyo ya 10GB kama huendi Post Paid ambayo nayo lazima uambatanishe na Passport na madude kibao ya identification.
VodaCom iko slow kulinganisha na Zantel, Zain ndo niliitumia kwa wiki mbili tu na kuweka chini modem yao, ovyo tu.
TTCL ni wazuri sana, lakini iwe ni broadband ya ukweli si vile vidude wanavyobebesha watu, tatizo coverage ya TTCL si kwa Dar nzima, maeneo ya Airport hawana mtandao wa internet.
Mengine labda tuendelee kushirikishana, nshajaribu SimbaNet, Raha, AfricaOnline lakini wote hamna kitu! Wana maneno mengi sana ya ushawishi lakini ukishakuwa mteja hawana muda na wewe
Zantel kwa 10GB nimepewa offer kwa 270,000 lakini kama ujuavyo, natumia twice as much kwa mwezi.Ndo maana nikasema wanaadvertise kuwa ni unlimited. Hizo package za 10Gb ni bei gani? Mimi natumia Zain sipati matatizo kusema ukweli, ila natumia simu yangu sio modem yao.
Zantel kwa 10GB nimepewa offer kwa 270,000 lakini kama ujuavyo, natumia twice as much kwa mwezi.
VodaCom wameniuzia kwa Tshs 360,000 hiyo 10GB, sijaimaliza lakini speed cha mtoto!
Zain nina Blackberry Bold na internet yao na subscription ni 35,000 kwa mwezi, hizo modem zao internet speed huwezi kabisa ukalinganisha speed (download speed) ya Zantel, kuna wakati Zantel inafikia 260kbps.
Benson Online naona wanatania.
TTCL ni baba lao, upload speed ni nzuri sana kwa TTCL, kuna wakati inafikia 512kbps (upload speed).
Ya Zantel 90,000 per month, wanadai ni Unlimited lakini nasikia ni 3Gb, sina uhakika.
Zain 100,000 per month nayo iko advertised kama Unlimited, unapata 2Gb.
Voda 95,000 per month unapata 2Gb.
Most people wants more speed and wishes to pay less, that can happen in other countries but never in tz, if you wish to get better speed on ur conn get ready to pay more...
*** i'm connected with BOL and TTCL and my Blackberry with Voda and i must say they suck somehow but no complaints ***
cheers
BOL ni uozo mtupu, nilijaribu kujoin eti hawana modem! mpaka nikakata tamaa. Sasa sijui wanafanya biashara gani.
Hizi bei ni maajabu kweli! $4500 ni per month!!? Nimesoma kuwa Comcast wanatoa 50Mbps kwa $99, yaani hizo satelitte ziko expensive kiasi hicho kweli? Au nini kinaendelea hapa?
Any ideas guys ?
I want something to pay MONTHLY... I hate those paying for MB usage ?
I heard zantel have monthly of 90,000 ?? is it true ?