Natafuta Software Ya Kuweza Kutrack Calls,sms,email Na Any Communicative Data Zinazoingia Kwenye Simu Ya Mtu Fulan. Nimeingia Play Store Na Kudowlod Kaadha Lakini Naona Ubabaishaji Tu So Namtaka Mtu Ambaye Kwa Ushuhuda Ameshawahi Kuitumia Na Ikawork Vizuri Ili Anipe Jina Nifanye Installation (iwe Ya Kununua Au Free App). Please Nisaidie Nimejiandaa Kwa Kukabiliana Na Stress Ntazopata Kupitia Hiyo App
Thanx Let Me Take It Vp Umeshawahi Itumia?
Liwalo na liwe
app gani hiyo mkuuAise wakuu hii app haifai hata kwa bure aise nilikuwa siamini, Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Mlio oa msitumie hii app mtakufa kwa pressure kabla hatuja malizia kujenga viwanda.