Which is the best Mobile Spy Application

Which is the best Mobile Spy Application

Mobile traker n nzuri sema unapewa trial ya siku 7 ikiisha unatakiwa ulipie
Icheck "mspy"...(Cell Phone Tracking & Monitoring Software, SMS Tracker - mSpy) ni the best...,unaweza kutrack sms, inarecord calls, whatsapp msg, viber, mail, facebook, e.t.c. Ni ya kulipia.Haionekani kwenye phone husika.

Kwa ajili ya sms, na details za calls nenda www.mobitrackapps.com, idownload na ihide isionekane, hii waweza tumia bure, means kwa TSH 0.00.

ONYO: Udukuzi ni kosa kisheria
 
Muulize yule aliyeweka kiti cha maungamo alitumia app ipi?
 
Natafuta Software Ya Kuweza Kutrack Calls, sms,email Na Any Communicative Data Zinazoingia Kwenye Simu Ya Mtu Fulan. Nimeingia Play Store Na Kudowlod Kaadha Lakini Naona Ubabaishaji Tu

So Namtaka Mtu Ambaye Kwa Ushuhuda Ameshawahi Kuitumia Na Ikawork Vizuri Ili Anipe Jina Nifanye Installation (iwe Ya Kununua Au Free App).

Please Nisaidie Nimejiandaa Kwa Kukabiliana Na Stress Ntazopata Kupitia Hiyo Application.

Kati ya best tracking app kuna moja inaitwa "ANDROID PHONE CONTROL" nilishawahi itumia kama 4yrs ago..
SIFA ZAKE
Inakutumia email yenye-
->sms
->calls zote na duration pamoja na jina la namba ilivyoseviwa kwenye simu(mf: namba ina jina la fake smile)
->inakutumia location simu ilipo.
->unaset utumiwe email kila baada ya muda gani au kila text au call itakayotoka na kuingia kwenye simu lengwa.
->unaweza kufanya irekodi simu zote ila angalizo ni kuwa itakuwa inakula data kwenye simu ya husika.
JINSI YA KUIWEKA KATIKA SIMU LEGWA.
->Utadownload na kuinstall katika simu lengwa .. then itakupa namba malimu ambazo utazipiga ndio app inafunguka unafanya setting unazotaka. lazma ukitaka kufungua tena ni lazma upige namba hizo kwani huwa haionekani mara baada ya kuinstall. na siku ukitaka kuizima lazma ufungue kwa kupiga tena zile namba ndio ifunguke.
 
What device are you using right now? Did you ever use an app that is for free and can help you to detect someone? I just found a free spy app for android undetectable join here for more details. You might also get some other info on their published articles. All the best!
 
Mhusika alete mrejesho humu ameitumia ipi ambaye ameona ni nzuri
 
I'm so much glad to read this thread here. Google search can help you a lot here. Because there you can get a big list of best phone spy apps. Some of them are really good and of course will help you to someone's phone location, text messages, export Whatsapp list, phone tracking and so on. You can also apply this type of apps for your kids, relatives, wife and other person you want to track. Overall, it's a good one.
 
Honestly, I'd avoid using spy apps altogether. I looked into them out of curiosity a while back, and most seem pretty shady or not trustworthy. Even the ones that claim to be legit come with privacy risks and might get you in legal trouble, depending on where you live. Plus, I’ve heard stories of people’s phones getting messed up after installing them. If it’s a trust issue, there are usually better ways to deal with it than sneaking around with software.
 
Back
Top Bottom