WHICH RING COMES FIRST? Engagement or wedding RING?

Kimori88

Member
Joined
May 17, 2009
Posts
28
Reaction score
0
Wadau nimekuwa nikipata utata nikiona walioolewa wanavyovaa pete. wengine inaanza engagement ring then wedding Ring, wengine Wedding Ring then engagement. Ni kipi kinatakiwa kianze? Au hakuna utaratibu maalamu wa kuvaa?
 
hakuna utaratibu kila m2 anavaa anavotaka, ovyoovyo 2
 
Wadau nimekuwa nikipata utata nikiona walioolewa wanavyovaa pete. wengine inaanza engagement ring then wedding Ring, wengine Wedding Ring then engagement. Ni kipi kinatakiwa kianze? Au hakuna utaratibu maalamu wa kuvaa?

Lazima kun autaratibu ila ni naomba kukiri kuwa ata mi mambo ya pete siyaelewewi...inatakua ka kuku na yai sasa.

Ila kwa assumption, unafikiri kipi kinatangulia...engagement au wedding? nasukumwa kusema kuwa ni engaement ring ndio hutangulia then a wedding ring
 
Na wakishaolewa ndo hawavai kabisaa...
 
Wadau nimekuwa nikipata utata nikiona walioolewa wanavyovaa pete. wengine inaanza engagement ring then wedding Ring, wengine Wedding Ring then engagement. Ni kipi kinatakiwa kianze? Au hakuna utaratibu maalamu wa kuvaa?

Mimi sioni mantiki ya mwanamke aliyeko kwenye ndoa kuendelea kuvaa engegement ring. Pete moja ya ndoa inatosha.
 
Mi nadhani inatakiwa itangulie engagement, lakini wengi naona wanavaa kwanza wedding ring then engagement nadhani hii ni kwa kuwa ukifanya hivyo inakaa vizuri zaidi kidoleni kuliko the other way, hata hivyo inategemea na style ya ring zako.
 
pete ni moja tu kwa sisi wa dini yetu ile, ushaolewa engagement ya nini tena, sana sana ndio utakua unataka iwe kinyume cha maana yake kwamba "MARRIED BUT AVAILABLE!"
 
Mimi nafikiri wedding RING ndo inatangulia maana hata ile siku ya kufunga ndoa inatakiwa kwenye kidole pasiwe na kitu, so unapovalishwa ile ya ndoa inatakiwa usiivue tena kama kuna nyingine itakuja juu ya hiyo wedding ring.
 
zamani nilikuwa naona watu wengi wanavaa kwanza engagement then Wedding sasa sijui ni fashion imebadirika watu kutanguliza wedding kisha engagement
for i prefer most Engagement + Wedding
 
Mimi nafikiri wedding RING ndo inatangulia maana hata ile siku ya kufunga ndoa inatakiwa kwenye kidole pasiwe na kitu, so unapovalishwa ile ya ndoa inatakiwa usiivue tena kama kuna nyingine itakuja juu ya hiyo wedding ring.

Kila mtu anavyaa kivyakevyake tu, hakuna utaratibu maalumu. Wengine wanaassume kwa kuwa ilianza engagement kwanza kabla ya ndoa, basi itangulie engagement ring na wengine wakishavishwa wedding ring siku ya ndoa, hawaivui tena na wanaongeza engagement ring mbele yake (ambayo waliivua siku ya ndoa).

Lakini nimeona wanawake wengi zaidi wametanguliza engagement ring
 
Kwa dini yetu ya sabato hamna hata moja si engagement wala wedding what we belive ni kuwa everything is just from your heart
 
Utatibu ni engagement then wedding. Soma magaezi ya Wedding designs utaona ninachosema.

Ki uelewa tu utaona nini kinaanza between Engagement and Wedding?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…