Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna utaratibu kila m2 anavaa anavotaka, ovyoovyo 2
Wadau nimekuwa nikipata utata nikiona walioolewa wanavyovaa pete. wengine inaanza engagement ring then wedding Ring, wengine Wedding Ring then engagement. Ni kipi kinatakiwa kianze? Au hakuna utaratibu maalamu wa kuvaa?

Mimi nafikiri wedding RING ndo inatangulia maana hata ile siku ya kufunga ndoa inatakiwa kwenye kidole pasiwe na kitu, so unapovalishwa ile ya ndoa inatakiwa usiivue tena kama kuna nyingine itakuja juu ya hiyo wedding ring.