joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ninyi wakenya uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana, hiyo takwim aliyotoa kiuongozi wenu ni wastani kwa siku, hii inapatikana baada ya kuchukua idadi ya ndege zote zilizotua na kuondoka kwa kipindi cha mwaka mmoja na kugawanya kwa idadi ya siku za mwaka husika, ninyi kwa ujinga wenu mbachukua idadi ya ndege kwa siku moja, stupid kabisa ninyi.Alafu anatuletea ripoti za 2016 [emoji23] [emoji23]