Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Ila ana try sana. I think he's taking English classes. Alikuwa worse b4.πMimi nimeipenda tu hiyo sentensi ya mwisho .....did he? Is that you Uhuru skipped? [emoji1] Jf kuna macomedian. π
Binafsi nafikiri ziara yake ina nia ya kuleta mapatano ndio maana ilikuwa ni ya moja kwa moja yaan alikuwa anamsaka kwa tochii maana alitua kigali then akaruka kuelekea aliko PK .... Penhine kesho tutamsikia yupi Kampala ....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kaliNa uhuru ni kiherehere jaman dah kama angekuwa demu nadhani angekuwa anapigwa kolabo saana au asingemaliza hata primary
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Mzee wa kujipendekeza ataumbuka!! Mgogoro wa Migingo na Uganda unam-disqualify right away!Na uhuru ni kiherehere jaman dah kama angekuwa demu nadhani angekuwa anapigwa kolabo saana au asingemaliza hata primary
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Mzee wa kujipendekeza ataumbuka!! Mgogoro wa Migingo na Uganda unam-disqualify right away!
seriously, I can feel my brain cells dying, wacha nitoke mbio mbio kabla nikue zuzuI just felt my brain cells shudder after reading this gobbledygook.