While Kagame was in Dar last week, Uhuru is in Kigali today!

While Kagame was in Dar last week, Uhuru is in Kigali today!

Uhuru anafanya kazi ambayo ilitakiwa iwe imefanyika miaka 50 iliyopita (kutafuta ushawishi)

Na nineema kwa Kenya kuwa na diplomatic leader kama uhuru(japo sio mbobezi)

Sipati picha kama Kenya ingepata kivuruge kama jiwe ushawishi wao ungekuwaje aise
Binafsi nafikiri ziara yake ina nia ya kuleta mapatano ndio maana ilikuwa ni ya moja kwa moja yaan alikuwa anamsaka kwa tochii maana alitua kigali then akaruka kuelekea aliko PK .... Penhine kesho tutamsikia yupi Kampala ....

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Only Uhuru Kenyatta can broker peace between Uganda and Rwanda. The other guy cannot even climb on an airplane.

Na uhuru ni kiherehere jaman dah kama angekuwa demu nadhani angekuwa anapigwa kolabo saana au asingemaliza hata primary

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Na uhuru ni kiherehere jaman dah kama angekuwa demu nadhani angekuwa anapigwa kolabo saana au asingemaliza hata primary

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Mzee wa kujipendekeza ataumbuka!! Mgogoro wa Migingo na Uganda unam-disqualify right away!
 
[emoji3][emoji3][emoji3]ndio yupo ZAMA za kutafuta ushawishi lkn kakosea kaingia Anga za majasusi ambao ni ndugu
Mzee wa kujipendekeza ataumbuka!! Mgogoro wa Migingo na Uganda unam-disqualify right away!

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Back
Top Bottom