Let Rwanda do whatever, but Tanzania has to cut tie with neighbour Kenya completely. Ukiona unakata majani halafu mtu anakuletea kichwa anawekea sehemu unayokatia majani ati anazuia usikate unapaswa kukata hiyo kichwa pamoja na majani.
Nafikiri sasa tuanze kazi moja, Kenya soko lake kubwa sana la bidhaa zake liko Tanzania maana ukiingia kila duka karibu kila bidhaa inatoka Nairobi hapo sasa ukisikia kupigana na kurushiana ngumi halafu bado adui hataki kushindwa wanasemaga shika Pumbu zake sawasawa.
Imefika wakati wa kukamat pumbu za majirani zetu, ni kuhakikisha tunatafuta replacement ya bidhaa za Kenya haraka sana wakati tukiandaa viwanda vyetu, ili waache kuitangaza nchi yetu vibaya na watuheshimu.
Nawashangaa kuna wachezaji wao hapa wanachezea club ya Simba sijawahiona wanavaa barakoa na mtaani wanaingia na hawana ugonjwa, inakuwaje wanatuaibisha ati kukaa siku 14 ndani kabla ya kuruhusiwa kuingia public? Halafu Kenya wana vichwa vizuri mno, Prof PLO Lumumba kwa nn wasimpe hata uwaziri wa mambo ya nje akawasaidia?
Ngoja Magufuli amalizane na uchaguzi kwanza watanjua vizuri