While KQ is at economical Depression ATCL set to receive brand new 2nd B787-8

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
This picture was taken at Boeing Everret factory TODAY actually the flight named as RUBONDO island found in MWANZA

1570978428909.png
 
Ni mwendo wa mbele kwa mbele.
😂🤣😂
Viva 🇹🇿
 
Hongereni majirani, this is a big leap towards a great future...mtupe pia ratiba ikishafika angalau tununue tickets. Inafaa muongeze Kama tatu hivi kwa mpigo mmoja.👍👍👍👍
tume order A220 2 ambazo ni customized wide body ambazo ktk kila seat kutakuwa na PTV ..A220 nyingi zilizotolewa awali hazina PTV ila DELTA AIR peke yao ndio ndege zao aina ya A220 zina PTV ss ATCL wanafuata mkondo huo huo ..alafu the kwa kutambua ya kuwa tumeonyesha njia ...ET nao pia wame ona ubora wa izo ndege na wao wame order pia ss africa kutakuwa na airline operator wa 3 TU wanao miliki A220.... ambao ni ATCL, Egypt air na hao ET kama wata sign deal lao
 
Faida isahau kwa sasa. Itachukua miaka mingi sana kuleta faida kwa sababu lazima irudishe pesa ya kununulia kwanza ambayo yenyewe lazima itachukua muda mrefu.
Wakenya ni wakweli na wawazi. Hadi kutoa taarifa za hasara hiyo ni moja wapo ya ukweli. Tanzania hatujui kama twapata hasara au faida.
 
Hapa naona mtawapa Rwandair competition kubwa na pia Uganda airlines.
 
Hongereni majirani, this is a big leap towards a great future...mtupe pia ratiba ikishafika angalau tununue tickets. Inafaa muongeze Kama tatu hivi kwa mpigo mmoja.👍👍👍👍
Kwa Mara ya Kwanza Mkenya anapongeza Tanzania.Very exciting!!
 
Wakenya ni wakweli na wawazi. Hadi kutoa taarifa za hasara hiyo ni moja wapo ya ukweli. Tanzania hatujui kama twapata hasara au faida.
Sasa Wakenya ndege wamekodi
Vivutio vya Utalii viko TZ zaidi soo Kenya wanapita tu
Uchumi karibia wote unashikiliwa na wageni

Hiyo faida itatokea wapi
 
Faida isahau kwa sasa. Itachukua miaka mingi sana kuleta faida kwa sababu lazima irudishe pesa ya kununulia kwanza ambayo yenyewe lazima itachukua muda mrefu.
Nasikitika hao huwa hawaelewi haya mambo wao ni kupinga pinga tu kwa kwenda mbele 😂😂😂
 
Back
Top Bottom