luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Jumla ni ngapi zipo kwenye manunuzi...Najua hii ikifika wanaanza manunuzi ya nyingineThis picture was taken at Boeing Everret factory TODAY actually the flight named as RUBONDO island found in MWANZA
This flying angel is expected to be received late October two more Airbus 220-300 to comeThis picture was taken at Boeing Everret factory TODAY actually the flight named as RUBONDO island found in MWANZA
Hakuna biashara isiyo na faida na hasara.... lkn kumbuka iyo ndege kuwa nayo tu ni ASSET toshaWakenya ni wakweli na wawazi. Hadi kutoa taarifa za hasara hiyo ni moja wapo ya ukweli. Tanzania hatujui kama twapata hasara au faida.
Wakenya ni wakweli na wawazi. Hadi kutoa taarifa za hasara hiyo ni moja wapo ya ukweli. Tanzania hatujui kama twapata hasara au faida.
Tufanye tumepata hasara basi, nenda kalie [emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakenya ni wakweli na wawazi. Hadi kutoa taarifa za hasara hiyo ni moja wapo ya ukweli. Tanzania hatujui kama twapata hasara au faida.
This picture was taken at Boeing Everret factory TODAY actually the flight named as RUBONDO island found in MWANZA
View attachment 1232046
tume order A220 2 ambazo ni customized wide body ambazo ktk kila seat kutakuwa na PTV ..A220 nyingi zilizotolewa awali hazina PTV ila DELTA AIR peke yao ndio ndege zao aina ya A220 zina PTV ss ATCL wanafuata mkondo huo huo ..alafu the kwa kutambua ya kuwa tumeonyesha njia ...ET nao pia wame ona ubora wa izo ndege na wao wame order pia ss africa kutakuwa na airline operator wa 3 TU wanao miliki A220.... ambao ni ATCL, Egypt air na hao ET kama wata sign deal laoHongereni majirani, this is a big leap towards a great future...mtupe pia ratiba ikishafika angalau tununue tickets. Inafaa muongeze Kama tatu hivi kwa mpigo mmoja.ππππ
Wakenya ni wakweli na wawazi. Hadi kutoa taarifa za hasara hiyo ni moja wapo ya ukweli. Tanzania hatujui kama twapata hasara au faida.
Hapa naona mtawapa Rwandair competition kubwa na pia Uganda airlines.tume order A220 2 ambazo ni customized wide body ambazo ktk kila seat kutakuwa na PTV ..A220 nyingi zilizotolewa awali hazina PTV ila DELTA AIR peke yao ndio ndege zao aina ya A220 zina PTV ss ATCL wanafuata mkondo huo huo ..alafu the kwa kutambua ya kuwa tumeonyesha njia ...ET nao pia wame ona ubora wa izo ndege na wao wame order pia ss africa kutakuwa na airline operator wa 3 TU wanao miliki A220.... ambao ni ATCL, Egypt air na hao ET kama wata sign deal lao
Kwa Mara ya Kwanza Mkenya anapongeza Tanzania.Very exciting!!Hongereni majirani, this is a big leap towards a great future...mtupe pia ratiba ikishafika angalau tununue tickets. Inafaa muongeze Kama tatu hivi kwa mpigo mmoja.ππππ
Sasa Wakenya ndege wamekodiWakenya ni wakweli na wawazi. Hadi kutoa taarifa za hasara hiyo ni moja wapo ya ukweli. Tanzania hatujui kama twapata hasara au faida.
Hapa naona mtawapa Rwandair competition kubwa na pia Uganda airlines.
Nasikitika hao huwa hawaelewi haya mambo wao ni kupinga pinga tu kwa kwenda mbele πππFaida isahau kwa sasa. Itachukua miaka mingi sana kuleta faida kwa sababu lazima irudishe pesa ya kununulia kwanza ambayo yenyewe lazima itachukua muda mrefu.