While KQ is at economical Depression ATCL set to receive brand new 2nd B787-8

This is a very stupid message

Not everyone sepaks airline language

What is PTV
PTV mean personal televisions which includes inflight entertainment such as games, movies and so forth kama ulishawahi kupanda ndege ktk maisha yako nafikiri unafahamuila unajifanya kutokujua ....
 
Hakuna biashara isiyo na faida na hasara.... lkn kumbuka iyo ndege kuwa nayo tu ni ASSET tosha
Huwa nawashangaa hasa hawa watu. yaani wao wanaona bora tungekuwa tuna lease halafu tukipata hasar shirika life liwe halina kitu. Hawajui kama kuwa nayo tayari ni Asset na biashara ikikushinda unaweza kukodisha ndege tu.
 
Ikiwa una Formula yako tofauti na hii inayokubalika kote ulimwenguni naomba utuwekee apa tujifunze?
Nimekuambia iweje katika nchi zote duniani itumike formulae moja, lakini Kenya itumie formula tofauti.

Nimekuomba utumie hiyo formulae yako ili kupata GDP ya Kenya kati ya mwaka 2016, umeshindwa kufanya hivyo matokeo yake unaanza kucheza na Maneno kuficha uongo na aibu yenu, kumbuka IFM ilishasema kwamba Kenya inadanganya. Hahahaha.
 
PTV mean personal televisions which includes inflight entertainment such as games, movies and so forth kama ulishawahi kupanda ndege ktk maisha yako nafikiri unafahamuila unajifanya kutokujua ....
It's the use of acronyms thinking everyone is speaking your language

BTW, sijui hata ndege ikoje ndani... Nasali kila Siku nipande ndege
 

Correct.
Hawa Majuha hawajielewi fabricating data
 
Go back to school wapi wewe..!! Mchina kawafanyia usanii kawajengea tazara ya 1870 new form
Wewe ni wazi ata panzi Wana akili kukushinda,ivi badala ya kuonyesha upumbavu wako mbona usi Google kidogo ujielimishshe kuhusu tofauti ya meter gauge na sgr etc,,,,,,na ati sasa watu kama wewe ndio akili kubwa shule za Tanzania zinatoa smh.
 
Ungempa formula yako unayotumia badala ya kubisha na maneno tu...that is how we separate walk from talk. It is also quite intriguing how you get likes from your fellow lowlifes Ni Kama kipofu kuongoza kipofu...yupe formula unayotumia tafadhali.
 
Correct.
Hawa Majuha hawajielewi fabricating data
Tupe formula unayotumia ama Ni ushabiki tu na huku hesabu haikuingii? Dhihirisha uwezo wako wa kudadavua mambo la sivyo Kaa huuuko utulie na uelimishwe.
 
It's the use of acronyms thinking everyone is speaking your language

BTW, sijui hata ndege ikoje ndani... Nasali kila Siku nipande ndege
okay hamna shida Mr. Janjaweed ngoja tuendelee
 
Faida isahau kwa sasa. Itachukua miaka mingi sana kuleta faida kwa sababu lazima irudishe pesa ya kununulia kwanza ambayo yenyewe lazima itachukua muda mrefu.
Faida ya biashara ya ndege hupimwa kwa masaa ya urukaji.
 
Wewe ni wazi ata panzi Wana akili kukushinda,ivi badala ya kuonyesha upumbavu wako mbona usi Google kidogo ujielimishshe kuhusu tofauti ya meter gauge na sgr etc,,,,,,na ati sasa watu kama wewe ndio akili kubwa shule za Tanzania zinatoa smh.
Sasa wewe unataka mimi ni-google kitu gani wakati old school-fashioned tuktuk nimeiona live kwa macho yangu mawili,no need of Google search!!!!
 
This picture was taken at Boeing Everret factory TODAY actually the flight named as RUBONDO island found in MWANZA
View attachment 1232046

ATCL is a loss making super machine!

Mentality ya Jiwe cheerleaders,msiba wa mwenzako eti ndio furaha eti watafanikiwa,what a stupid move!

Ndio maana wameua mashirika madogo madogo ili wao wawe pekee yao which they do not understand ndio yataleta abiria mbalimbali kutoka rural areas to Dar for internationals!

Plus they get kodi which is more than 30% which in real terms ni 30% ownership!

Wao ni kuua kwanza then wao waanze halafu hawajui lolote!

What a shame!
 
 
kwa hiyo unataka kusema hata zile jitihada za kufufua shirika la ndege la uganda pia furaha ya kuona KQ inaangamia ? do not let your negativity ruin your brain my friend... be real ... hizi itihada za kufufua shiririka la ATCL jitihada za kujaribu kuinua uchumi wa nchi tunatambua ya kuwa tuna utalii wa kuwavutia watalii ss kwann tusijaribu kuwaleta watalii wetu moja kwa moja through OUR OWN PLANES ? let US try
 
Hahahaha, Maneno ya mtu aliyekata tamaa na mwenye roho mbaya, " last kicks of dying horse". Mlizoea kuwa peke yenu ktk biashara ya ndege ukanda huu, KQ ilishindwa hata kabla ya kufufuliwa kwa ATCL na Uganda Air, lawama zenu ni muendelezo wa roho mbaya na wivu wenu juu ya majirani zenu.

Kenya hakuna jirani yenu ambaye mnaelewana, Somalia, Ethiopia, South Sudan, na Uganda, wote hao mnakwaruzana nao. Mnasifika Africa nzima kwa ukatili wa kuuwana wenyewe kwa wenyewe na roho mbaya
 
Formula hujaipata?
 
Npatie hiyo weed unayotumia, inaonekana ni kali sana. Mna maneno ya kipuuzi kisa chuki, sis tunajarbu kufufua ATCL sio kwasababu ya kuua KQ but kwa faida zetu ukiangalia tunapata watalii wengi sana kwa mwaka, so vipi kampala airline na Rwanda nazo lengo lake ni kuua KQ? Your negativity will blow up ur chest
 
Mkuuu nimeishiii na kusoma Kenya hii statement yako umeongeaa kwa ujumla ama!? Maaana Kama kwa ujumla naomba ufike laikipiaa kule kuna sehem inaitwa kinamba halaf uje useme tena kuwa kenya kuna umeme wa kutosha ...labda useme kenya kuna Ngumuuu za kutosha
 

Hujaelewa mwehu wewe!

Bangi hadi Jiwe anakula,sasa unataka kwenda kinyume na anachovuta boss wako unaemlamba matak0?

ATCL haina ubavu wa kuua KQ!

KQ inakufa kutokana na sababu zingine kabisa na wala sio ATCL!

Na ATCL haina uhusiano na Uganda Airways wala Rwandair,etc...ni carriers za mataifa mengine kama zilivyo carriers zingine!

Ninachoona nyie ni wapumbavu ni pale mnapochekelea matatizo anayopata KQ sasa hivi as if nyie kuna kitu cha maana mnafanya!

KQ akifa sio kwamba wewe ndio utafanikiwa!

Upumbavu mlichofanya wewe na Jiwe wako ni kuua mashirika madogo madogo yaliyokua hapa nchini as if ndio kwamba nyie mtafanikiwa na ATCL,which is wrong!

ATCL haina faida yoyote as we speak!

Kuleta watalii mashirika yote yanaleta wala sio ATCL!

ACTL ina nearly zero international trips sasa hao watalii inawaleta kwa trip za Njombe wewe matak0?

Watalii wanakuja na international carriers as we speak,ATCL haina mbavu ya kuruka nchi yoyote bara la Ulaya,zingeshikwa!

Eti watalii,ATCL inachukua watalii wa wapi kiduduu wewe?

Watalii wapo EU na America ambapo ATCL haina jeuri ya kwenda kufanya direct flight wewe mwehu!

SA yenyewe mmekimbia,hizo trips za “watalii” mnafanyia wapi?

India?Kuna Mhindi mtalii dunia hii?Viduduu nyie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…