While total FDI in Kenya is $700mln after 60% drop, Tanzania is $3.3 bln after 7% drop

Mkunyahead! Muache kujitamba na visivyo vyenu!
Hahahaha utazidi kulialia lakini bado Safaricom itabakia Kuwa Kampuni ya Kenya. Kampuni kubwa kabisa east and central africa.

Ukishamaliza kulia, dunia itazidi kusonga mbele
 
Kumbe wewe hujui, nitajihidi niipate hiyo list ni ilete humu au mtu yoyote ambae anaeza ipata aiweke hapa.
Nikosaje kujua? Kuzitaja hapa ina umuhimu gani kuliko hiyo takwimu kutoka kwa idara yenyu ya uwekezaji, TIC?
 
Learn to feed urself first before u claim to be among leading Foreign investors. That pant is too big for ur gololi balls!
Safaricom is a Kenyan company niggaaaaaaaaaaaaaa
 
Unalikana gazeti la nchi yakoo? If I were u I would have started to doubt the economic growth figures stated by Jubilee govt.
What about those stated by IMF., their own independent findings after a stay.., 5.7%?., mbona tukubali zenyu which dont even translate to the population. From 22% poverty line to people living in extreme poverty increasing to 32%!!., biggest in EAC and SADC!
 
Mention those Kenyan companies!I know of British companies registered/incorporated in Kenya coming to invest in Tanzania. There is no way with Kenyan owned owned companies, Kenya as a country can make it top 5. Do ur research properly n come back.
Equity bank, KCB, Nakumatt, Bidco, Co-operative bank, Tuskys supermarket. Hizi companies na zingine are majority owned by Kenyans
 
nauliza, r foreigners allowed to buy shares at NSE?
Can u bring ownership breakdown Mpesa pia?
Wewe nini, mpesa is part of Safaricom, it is not a company on its own. Kuna kitu kimenishangaza na wewe. Nimekuwa nikifuatilia mambo ya uchumi kwa muda mrefu na hata nisomapo kwenye magazeti za kimataifa kama tuseme New york times, wao huweka wazi kuwa nchi ambazo zimeendelea kiuchumi hukubalia foreigners kuinvest katika equities za local companies. Kwa mfano, Kenya Airways iko kwenye Nairobi securities exchange na asilimia fulani ya hisa yao imenunuliwa na public.Safaricom pia wako kwenye NSE na wao pia hisa zao zimenunuliwa na public. East African Breweries na makampuni mengine pia yana hisa huko.
Ukiangalia America, Makampuni karibia zote kubwa zimeuza hisa katika Stock exchange zao kwa mfano huko New york stock exchange. Makampuni kama Google, facebook, Microsoft na kadhalika yameuza hisa huko. Na yanapouza hisa, mtu yeyote duniani anaweza nunua hizo hisa kwa kupitia broker wake. Sasa hisa za fakebook zinamilikiwa na watu tofauti tofauti duniani, hivi leo itakuwaje Geza useme eti facebook sio kampuni ya Amerika eti kwa sababu baadhi ya hisa zao zinamilikiwa na foreigners? Jambo lingine, Toyota, Mercedes na Volkswagen zote sio makampuni yenye asili ya Amerika ila zote zimeanzisha ofisi Amerika na hizi makampuni zimewaajiri Waamerika wengi. Kwa hivyo, nchi yoyote iliyoendelea kiuchumi lazima iweze kukubali makampuni asilia kuuza hisa kwa foreigners. Pili lazima ifunguwe mipaka na kukubali makampuni ambayo sio ya asili ya nchi hiyo kufungua ofisi na kufanya biashara huko. Hiyo ndio maana Amerika ni matajiri kwa sababu wana Toyota ambayo inaajiri Waamerika wengi japo ni kampuni la kijapani.
Vilevile, Kenya tunayo Barclays, Standard Charterd, Britam, UAP, Old Mutual, Unilever na mengineo na yote yanalipa kodi yaani tax na pia yanaajiri Wakenya wengi. Kitu ninachojaribu kusema ni eti Kenya ina makampuni mengi kutoka nje na hio inaonyesha jinsi uchumi wa Kenya ulivyokuwa na kustawi.Usisifu uchumi wenu eti kwa sababu hauna makampuni mengi kutoka nje,utaonekana kama mtu asiye na uelewa wa maswala ya biashara na uchumi. Haswa kudharau Kenya eti kwa sababu makampuni mengi yako kwenye securities exchange na yanamilikiwa na wageni kwani hiyo ndio ishara moja ya uchumi uliyoimarika. Marekani makampuni kubwa zote ziko kwenye stock exchange na Wajapani, Wajerumani au hata Watanzania tajiri wanaweza kununua hisa ya Facebook au Google. Foreign ownership of local companies is a sign of a mature economy, yaani umiliki wa hisa za makampuni asilia kwa wageni ni ishara ya uchumi uliyoimarika
 
Muhimu ni kwamba Tanzania imepokea $3.3B wakati Kenya ni $700M, Mara tano zaidi.
 
Equity bank, KCB, Nakumatt, Bidco, Co-operative bank, Tuskys supermarket. Hizi companies na zingine are majority owned by Kenyans
What r their market capitalization in Tanzania? BTW Tusky supermarket and Co-operative Bank r not in Tanzania!
 
Tanzania FDI unakuta 700m ni kampuni moja ya gesi, anotherone 500m kuchimba migodi, anotherone ni 300m kwa madini mengine.....

Kenya FDI ni $50m benki mpya, $40m kwa kiwanda cha biskuti, $80m kwa kampuni ya chai, 50m kwa kampuni ya kutengeeza magari...


Tafakari
 
Equity bank, KCB, Nakumatt, Bidco, Co-operative bank, Tuskys supermarket. Hizi companies na zingine are majority owned by Kenyans
There's no budco, nakumatt, co-operative bank, tuskys supermarket 🛒 in Tanzania 🇹🇿
 
I already gave you the shareholding structure of Safaricom.

What you are saying is baseless and even if it was so, it doesn't matter because those are people investing in a KENYAN company.
They're taking out the money to abroad, be sure when Safaricom gets 45bn profits 25+bn is automatically out of Kenyan territory
 
Hahahahahaha utapata taabu sana mwaka huu, nchi zinazoongoza kwa kuingiza FDI ni China, UK, India, South Africa na Kenya, hakuna hata moja Kati ya hizo inayojihusisha na uchimbaji wa migodi ukiacha Petra inayochimba almasi. Wote ni manufacturing, construction and tourism. Manufacturing sector ya Tanzania is the fastest growing in the region.
 
So? A reason JPM is pushing for their processing in Tanzania to add value. The gas (n other processing) factories r energy investments n as a result fertilizers n plastics industries r cropping up all around Tanzania.

Unless u prove to us no investments in biscuits n automobile industries in Tanzania, u have no point to make.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…