The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Picha lilianza pale mkataba ulipovuja, mamlaka hazikutegemea ..Jambo kama hili. Hata kama lingepekekwa bungeni Hakuna amabaye angeuona huo mkataba.
Tungekuja kugundua after 5 or 10 years Later kwambia hawa waarabu wamekuja kuishi Tanzania ...
Mnategemea Samia ajitokeze aongelee Nini Jambo la ajabu kama lile atakuwa Anazidi kujimaliza . Ndo maana kawapa jukumu la kujibu wale Ambao mkataba umevuja Mikononi Mwao...I'm sure engineer wa Jambo hili siyo yeyé.
Kauli Za mamlaka zinakinzana ndo utajua kwamba tumepigwa vibaya Sana.
1. Mkurugenzi wa bandari
2.Mbarawa
3.Grayson Msigwa.
4. CCM wenyewe
5. PM Majaliwa.
Kauli Zao hazina colleration. Kila MTU anaongea lake, MTU mwenye akíli timamu Lazima utajua kuwa there is something wrong with this makubaliano.
Kuna uwezekano kabisa huu ulikuwa ni Mpango wa watu wachache na siyo serikali.
Tunawashukuru Sana wale wote waliovujisha hizi nyaraka na tunaomba wengine waendelee kufanya Hivyo pale wanapoona kuna ujinga unafanyika.
Hii mijadala inayoendelea na makundi mbalimbali ilipaswa ifanyike kabla ya mkataba kusainiwa. Maajabu ni kwamba watu wansaini mkataba Afu ndo wanaleta majadiliano STUPID.