joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Niliitumia Leo from Ngong to suswa,
Ilikuwa imejaa
So Sijui what you are trying to imply here.
Bure kabisa
Kwahiyo tukuamini wewe "Jubilee sycophant" au tuamini "media" ambazo ni professional na wanawajibishwa kisheria pale wanapitoa habari ambazo sio kweli?. Wewe unawajibika kwa nani, Jubilee?Niliitumia Leo from Ngong to suswa,
Ilikuwa imejaa
So Sijui what you are trying to imply here.
Bure kabisa
Hiyo Phase 2A ni white elephant kubali tuu mzeeNiliitumia Leo from Ngong to suswa,
Ilikuwa imejaa
So Sijui what you are trying to imply here.
Bure kabisa
Hii SGR ya wakenya ni kituko, kichekesho na majanga matupu. Wachina waligundua mapema kwamba huu mradi ni "Total failure" ndio sababu walikataa kutoa pesa kumalizia awamu zilizobaki.
Someni wenyewe mjionee vioja na ujinga wa viongozi wa Kenya.