joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hii SGR ya wakenya ni kituko, kichekesho na majanga matupu. Wachina waligundua mapema kwamba huu mradi ni "Total failure" ndio sababu walikataa kutoa pesa kumalizia awamu zilizobaki.
Someni wenyewe mjionee vioja na ujinga wa viongozi wa Kenya.