White House Releases Obama Family Potrait

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
4035513827_8f85699646_b.jpg

On Friday, the White House released the official (and wonderful!) Obama family photograph. Celebrity photographer Annie Leibovitz photographed the family on September 1st, sitting in the Green Room of the White House. This isn't the first time Leibovitz has taken photos of the president -- she followed him on the campaign trail, took a series of portraits for Vanity Fair, and was most recently spotted on October 1st, trailing Obama around the White House. View the portrait below, and a high res. version of the picture from the White House Flickr stream here.

Hicho kitoto kikubwa kitakuja kuwa bomba sana!
 
Wametoka mwake. Natamani kama ningemuona mkuu wetu wa kaya pamoja na familia yake!
 
Hako kadogo naona kana hatari ya kushambuiliwa na unene lol..but they look so good
 
ndo hivo men... ukialikwa kwao usitegemee kupelea kwa vinywaji...
 
4035513827_8f85699646_b.jpg

On Friday, the White House released the official (and wonderful!) Obama family photograph. Celebrity photographer Annie Leibovitz photographed the family on September 1st, sitting in the Green Room of the White House. This isn't the first time Leibovitz has taken photos of the president -- she followed him on the campaign trail, took a series of portraits for Vanity Fair, and was most recently spotted on October 1st, trailing Obama around the White House. View the portrait below, and a high res. version of the picture from the White House Flickr stream here.

mimi nimempenda yule aliye kaa na mama yake itabidi Mr Obama awe Mkwe wangu natafuta namba ya simu ya Mr Obama nataka ni booking mapema kabla ya Wenzangu hawajanitangulia Je Wakuu Wa Jf mnayo namba ya Simu ya Obama? nipatieni?
 
Mkuu Mzizi kama upo YUESIEII jaribu hii 911
 
Unataka kuwa kama yule Mkenya aliyempenda mtoto wa Bill, alijitahidi mpaka mwisho.
 
Mnashangaa nini ?mbona late Nyerere alikua na utitiri wa watoto , au hamjaona ile picha ya Ikulu? (halafu utadhani wametoka Bushi kumbe ndani ya Ikulu).mbona picha ilitosha?

Wadaku mnao sema hamjaona , mbona siku ana hapishwa J.Kikwete , fammilia yote ilikuwepo na watoto wote walikuwepo hamkona pale walipo kua wanapanda gari?

Mmesahau Tonny Blair alivyo ingia No 10 , ikabidi sehemu ile iongezwe baadhi ya kuta vunjwa ,kuongeza space maana alikua na utitiri wa watoto na mwingine akazaliwa humo humo.

Cheki ndani ya Whitehouse , utadhani ni nyumba za LOndon zile wanaishi vibibi, , nasiki humo kumechoka kinoma ,carpet zime pauka na mbao ukitembea zinapiga kelele
 
Mkuu Mzizi kama upo YUESIEII jaribu hii 911

Mkuu Mwenda_Pole Unanipa Namba ya Polisi hiyo hunipendi nini mimi? unataka nikamatwe na Polisi ?hiyo namba 911 ni Polisi huko Amerika naona itakuwa ndivyo hivyo nipe namba yake kamili ya Mkwe wangu Mr Obama.
 
Back
Top Bottom