White House weighs petition to deport Justin Bieber

White House weighs petition to deport Justin Bieber

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,925
af427c5e38deca56f3947b3cd5c3e109ec2e5e8f.jpg 1390481792_1389905039_justin-bieber-lg.jpg bieber-petition_635x250_1391018816.jpg

Washington (AFP) - As if Barack Obama didn't have enough problems to deal with already, his administration now is being asked to weigh in on the grave matter of Justin Bieber's bad behavior.

By midday Wednesday (1700 GMT), a petition on the White House website calling for the deportation of the Canadian-born teen idol had garnered 103,000 names -- easily surpassing the threshold of 100,000 signatures required for presidential consideration.
"We the people of the United States feel that we are being wrongly represented in the world of pop culture," says the petition, created by one "J.A." in Detroit on January 23, the day Bieber was busted in Miami Beach for impaired driving and illegal drag racing in a flashy Italian sports car.
"We would like to see the dangerous, reckless, destructive and drug-abusing Justin Bieber deported and his green card revoked. He is not only threatening the safety of our people but he is also a terrible influence on our nation's youth. We the people would like to remove Justin Bieber from our society."
The White House website hosts citizens' petitions on other, more heady issues such as the legalization of marijuana and a pardon for National Security Agency whistleblower Edward Snowden.
CBS4 Exclusive: Surveillance Video Captures Allege …Play video

"Every petition that crosses the threshold will be reviewed by the appropriate staff and receive a response," assistant White House spokesman Matt Lehrich said.
But State Department spokeswoman Jen Psaki cautioned that the petition program "doesn't always determine a step will be taken, it's more of another opportunity for the voices of the American people to be heard."
There was no comment from Bieber himself, who according to gossip websites was back in Los Angeles on Wednesday after a weekend beach break in Panama.
Bieber, 19, is understood to be living and working in the United States under a renewable O-1 visa for entertainers, rather than a green card for permanent resident status.
It remains unclear whether Bieber's visa to stay in the United States would be affected by his arrest.
View gallery

This police booking mug made available by the Miami Dade County Corrections Department shows pop sta …

Now out on bail, Bieber is due back in Miami for a court appearance on Valentine's Day, when he will also also face charges of resisting arrest and using an expired driver's license.
Police in Los Angeles are pursuing their own investigation into an earlier incident in which Bieber allegedly hurled eggs at a neighbor's house.
 
Wamarekani wameona dogo anapiga hela wanaanza kumletea zengwe

Mbona wengine wanazingua na hawaguswi?
 
Kawaida sana kwa watu wa us na england kuchukia wageni waliofanikiwa na wanamake mkwanja
 
Wamuhamishe Snoop Dog and other culprit musicians like Lily Wyne, Eminem, 50 Cent, Nick Minaj, to mention few!! Otherwise, wakae na kijana huyu wamweleze njia za kupita na kumjenga kimaadili kwani inaonekana ni kiwewe cha pesa hasa ukilinganisha na umri wake. Hata mimi ningezikamata na uzee huu mbona mngefunga mitaa (kidding) Hahahaaahaha. Pesa achaneni nayo jamani ni sabuni ya dunia.
 
Hao ni raia wa us ndo mana hawawaandami
 
Hao ni raia wa us ndo mana hawawaandami

Mkuu hapa sikuangalia swala la uraia. Nimejikita kwa wapoteza amani na wanaoharibu vijana wa US. Hawa ni hatari kuliko kijana Biber. Wakisema kumfukuza wajiandae nao raia wao huko Canada kutimuliwa. Sidhani pia kama Eminem ni mzawa wa US. Issue hapa ni waihandle hiyo kesi kwa taratibu na sheria za nchi maana kama ni uharibifu na ukiukwaji wa sheria hao niliowataja ndo ring leaders. Huwezi ijenga jamii kwa kuondoa taka ngumu moja wakati umeacha dampo ndani.
 
Ingawa sina imani sana na hii habari lakini tambua issue ya deportation kwa mtu yeyote anayeishi nchi nyingine kwa dhamana ya residence permit ni kawaida sana maana hiyo mara nyingi huambatana na masharti kadhaa ikawamo kujiepusha na uvunjaji wa sheria. Hii ni takribani kwa nchi zote ikiwamo Tanzania na si US pekee.

Pia kumbuka swala la deportation halihusu raia wa nchi husika, utam_deport raia wa nchi yako kumpeleka wapi? Pia tambua maneno raia na mzawa yanabeba muktadha tofauti sana.
 
Tangu mwaka jana Justin Bieber amekuwa mtu wa sarakasi huku akifanya mambo ya kuudhi watu wengi. Baadhi ya mambo ya Justin aliyokuwa akifanya ikiwemo kuendesha gari lake kwa kasi jambo ambalo lilimfanya kufunguliwa kesi mahakamani na baadae Justin kuachiliwa kwa dhamana.

Hata hivyo visanga vyake havikuisha na kuna wakati alionekana akiiba baisikeli, pia ashawahi kuonekana live katika kilabu cha madanguro huku video yake akiwa amelala na kibiriti ngoma kusambaa kwa mtandao na baadhi ya mambo mengine ya kuudhi.

Hayo yote hayakuishia hapo na huu mwaka Justin Bieber amekubwa na kashfa la kutumia mihadarati na pia kusemekana alimrushia jirani yake mayai viza.

Wamarekani waliona tabia za Justin si za kawaida na waliona kuwa staa huyu si kigezo chema kwa vijana na walifanya petition kumrudisha kwao.

Drake Bell, ambaye ni mwigizaji filamu wa marekani alianza petition ya kumrudisha Justin kwao na baada ya siku sita pekee ilitimia kiwango kilichohitajika kumrudisha msanii huyu mwenye miaka 19 kwao Canada.

Kufanya petition nchini Marekani unahitaji sahii 100,000 ili iweze kuangalia na rais na kama itakubalika basi jambo linalohitajika na wananchi litatimizwa.

Katika petition hio imeandikwa kuwa Justin Bieber ni mtu anaetishia usalama wa marekani na pia ni mtu mwenye ushawishi mkubwa.
"...not only threatening the safety of our people but he is also a terrible influence."

Sasa jukumu limebakiwa na rais Obama na serikali yake na wakiona kuwa Justin ni tishio kwa wananchi wake basi hakutakuwa na budi ya kumrudisha Justin kwao.

Wengi hawampendi Justin ikizingatiwa kuwa staa huyu ashawahi kupigwa na chupa akiwa jukwaani.

Habari Imetolewa kutoka bkuHABARI Blog
 
fuatilia visa vya habari kabla ya kupost habari mkuu,hizo sign zinazohitajika bado hazijatimia so ni maamuzi ya rais na washauri wake kama wataamua aondoke state au abaki na hii inachukua muda mrefu mmwezi,miezi,miaka kadhaa!!!!!!!!!!
 
nasikia huyu mtoto mchele,kama hela hata bow wow alikuwa nazo,mbona drake,dione,deborah cox na twain wanapiga kazi usa?
 
Wamuhamishe Snoop Dog and other culprit musicians like Lily Wyne, Eminem, 50 Cent, Nick Minaj, to mention few!! Otherwise, wakae na kijana huyu wamweleze njia za kupita na kumjenga kimaadili kwani inaonekana ni kiwewe cha pesa hasa ukilinganisha na umri wake. Hata mimi ningezikamata na uzee huu mbona mngefunga mitaa (kidding) Hahahaaahaha. Pesa achaneni nayo jamani ni sabuni ya dunia.

Marekani hawana tatizo na wahamiaji hata uwe staa utajisikia nyumbani kwa sharti moja kubwa ndilo usivunje sheria za nchi. Hiyo ni sheria ambayo lazima aliambiwa akubali kupata residential permit na nasikia wakanazia hilo sana. Huwezi kulinganisha mzawa na wakuja kwa usawa wa uvunjaji sheria, mzawa licha ya uzito wa uvunjaji sheria ukiwa ule ule pamoja na adhabu yake, wakuja yatakupata ya kusitishiwa residential permit hasa kama umeipata muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom