Hapa yeye alikuwa anawapamba wananchi Kwa kuamuru magari ya Polisi yakanyage waandamanaji?Maduro atasafirishwa hadi gereza la Kituo cha Magereza cha Jiji ambapo atakabiliana na mashtaka ya dawa za kulevya, saa chache baada ya jeshi la Marekani kumkamata yeye na mkewe.
Maduro aliwa na mkewe Makao Makuu ya DEA alionekana akichechemea na kutoa kauli ya heri ya mwaka mpya.
Wakati huo huo, akaunti ya mtandao wa X ya White House imechapisha tena video iliyochukuliwa awali yenye kumuonyesha Nicolas Maduro akiwa amefungwa pingu huku akisindikizwa na maafisa wa usalama katika makao makuu ya DEA huko Manhattan.
Kumbe alikua mpuuzi tuHapa yeye alikuwa anawapamba wananchi Kwa kuamuru magari ya Polisi yakanyage waandamanaji?
Ila US ni noma daaah unamdaka Rais kama panzi?
Sio maduro huyo. Japo kakamatwa ila hiyo video sio maduro.
Unyama uliopitilizaHapa yeye alikuwa anawapamba wananchi Kwa kuamuru magari ya Polisi yakanyage waandamanaji?
Hayana tofautiKwa jinzi alivyofanya ushenzi nchini kwake anastahili hayo yanayo mtokea Sasa hivi
Kwa ufupi ni kama Samia tuwengi wanasahau kwamba USA haikumtambua huyo maduro kama raisi kwenye uchaguzi uliopita, hivyo kwa upande wa USA siyo raisi wa venezuela bali ni criminal tu aliyeiba na kupora power ...
Asingeoneshwa mngekataa hajakamatwa au anateswa.Wacha wamuoneshe.Maduro atasafirishwa hadi gereza la Kituo cha Magereza cha Jiji ambapo atakabiliana na mashtaka ya dawa za kulevya, saa chache baada ya jeshi la Marekani kumkamata yeye na mkewe.