Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Aisee hii sayari
Mbona anasindikizwa vizuri tu! Huo siyo udhalilishaji! Ila Delta Force ni kiboko, Rais anachukuliwa kama kuku mwenye mdondo! Mwambieni yule kikaragosi anayehoji wazungu who are they, atanyakuliwa wakitaka!Maduro atasafirishwa hadi gereza la Kituo cha Magereza cha Jiji ambapo atakabiliana na mashtaka ya dawa za kulevya, saa chache baada ya jeshi la Marekani kumkamata yeye na mkewe.
Maduro aliwa na mkewe Makao Makuu ya DEA alionekana akichechemea na kutoa kauli ya heri ya mwaka mpya.
Wakati huo huo, akaunti ya mtandao wa X ya White House imechapisha tena video iliyochukuliwa awali yenye kumuonyesha Nicolas Maduro akiwa amefungwa pingu huku akisindikizwa na maafisa wa usalama katika makao makuu ya DEA huko Manhattan.
Mara hii Venezuela imekuwa na Uchumi mdogo? Ila kabla hajadakwa si mlikuwa mnavimba kwamba Venezuela ni moja ya baba lao?Sija angalia hiyo video ila hapa kuwa na haja ya kuonesha hizo picha..
Hata hivyo; kuvamia Nchi yenye uchumi wa kawaida kama venezuela na kuonesha kuwa umeshinda sana
Ni sawa; na kutumia pikipiki kushindana na baiskeli halafu mwenye pikipiki apige picha kujisia... Shame on USA!!!
Kwani si mhalifu amaMaduro atasafirishwa hadi gereza la Kituo cha Magereza cha Jiji ambapo atakabiliana na mashtaka ya dawa za kulevya, saa chache baada ya jeshi la Marekani kumkamata yeye na mkewe.
Maduro aliwa na mkewe Makao Makuu ya DEA alionekana akichechemea na kutoa kauli ya heri ya mwaka mpya.
Wakati huo huo, akaunti ya mtandao wa X ya White House imechapisha tena video iliyochukuliwa awali yenye kumuonyesha Nicolas Maduro akiwa amefungwa pingu huku akisindikizwa na maafisa wa usalama katika makao makuu ya DEA huko Manhattan.
vipi kuhusu Samia? expertKwa jinzi alivyofanya ushenzi nchini kwake anastahili hayo yanayo mtokea Sasa hivi
Kwani na sie ndio walichotufanyia October 29.. kina tofauti gani na Maduro ? Na wote nasikia walijitangazia ushindi wa 98%Kumbe alikua mpuuzi tu
Wewe jamaa ndio muasisi wa neno Manyonyo humu JF.Hakuna udhalilishaji hapo
Anyway, hv Ndivyo manyonyo na JK watakavyofanyiwa ili Tanganyika ibaki na uhuru wake
Nakazia:-Jana tu alikua analindwa. Na leo analindwa. Sema walinzi tofauti.
Samia suluhu hassani kutoka KUZIMU-kaziOya MANYONYO ndo nani mkuu 😁
Naye atastahili yatakayo mtokea pia,mie ni muumini wa amani,pili ni muumini wa kiongozi ambaye anawajali watu wakevipi kuhusu Samia? expert
ERTUGRUL BEY
Hajachanganyikiwa ila ameamua isiwe kinyonge kivileMaduro anawaambia waandishi wa habari Goodnight happy new year ni kama kachanganyikiwa aamini kilichotokea naona make wake yupo mbele hapo yupo DEA jamaa wa dawa za kulevya kapelekwa kwenye jela hapo New York City..
Hana tofauti na huyu wa kwetu!Hapa yeye alikuwa anawapamba wananchi Kwa kuamuru magari ya Polisi yakanyage waandamanaji?
Eti somo yao[emoji23]wambie wachina na Russia wakamchukue somoyao aibu sana
Vichaa kuna muda akili inawarudia kwenye default mode 😹😹😹Kwa jinzi alivyofanya ushenzi nchini kwake anastahili hayo yanayo mtokea Sasa hivi
Na msura wako kama dekio 😹Sio maduro huyo. Japo kakamatwa ila hiyo video sio maduro.
Heche Rais haramu?akina heche hii kitu inaweza kuwakuta
Sheria za kimataifa zinaiweka marekani kwenye hatari ya kushtakiwa.Hakuna udhalilishaji hapo
Anyway, hv Ndivyo manyonyo na JK watakavyofanyiwa ili Tanganyika ibaki na uhuru wake