White House yatoa video ya kumdhalilisha Rais Maduro akipelekwa kwa pingu Marekani

Mbona anasindikizwa vizuri tu! Huo siyo udhalilishaji! Ila Delta Force ni kiboko, Rais anachukuliwa kama kuku mwenye mdondo! Mwambieni yule kikaragosi anayehoji wazungu who are they, atanyakuliwa wakitaka!
 
Mara hii Venezuela imekuwa na Uchumi mdogo? Ila kabla hajadakwa si mlikuwa mnavimba kwamba Venezuela ni moja ya baba lao?

Na shida yenu huwa ni hiyo, ku-twist maneno. Kabla Saddam Hussein hajakamatwa, mlipiga mkwara "Marekani aivamie Iraq aone! Huo ndo utakuwa mwisho wao". Ila Marekani ikishachukua mtu wake mnakuja kulia lia tena "Uonevu! Uonevu! Uonevuuuzi!"
 
Kwani si mhalifu ama
 
Maduro anawaambia waandishi wa habari Goodnight happy new year ni kama kachanganyikiwa aamini kilichotokea naona make wake yupo mbele hapo yupo DEA jamaa wa dawa za kulevya kapelekwa kwenye jela hapo New York City..
 
Maduro anawaambia waandishi wa habari Goodnight happy new year ni kama kachanganyikiwa aamini kilichotokea naona make wake yupo mbele hapo yupo DEA jamaa wa dawa za kulevya kapelekwa kwenye jela hapo New York City..
Hajachanganyikiwa ila ameamua isiwe kinyonge kivile
 
Hakuna udhalilishaji hapo

Anyway, hv Ndivyo manyonyo na JK watakavyofanyiwa ili Tanganyika ibaki na uhuru wake
Sheria za kimataifa zinaiweka marekani kwenye hatari ya kushtakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…