White House yatoa video ya kumdhalilisha Rais Maduro akipelekwa kwa pingu Marekani


Alivyowatendea wenzie ndivyo anavyopaswa kutendewa
 
Ona hili chokoh
 
Eti somo yao[emoji23]

Watu mna maneno humu?[emoji23]
mkuu muda mwingine wanatusumbua bure communists wa chunya na manyara huko

Delta force imeanzishwa mwaka 1975 ,miaka 10 China inaanza kujitafuta kiuchumi Russia inaua au kuchezea wataalam waendae kusoma huko wakirudi wanakuwa vichaaa na bado ilikuwa inajitafuta(hofu kuhisi kila aendae huko basi Jesus wa marekani) chini ya kanal Beckwith

Tatu,,,,, maduro kaingilia tu kudabuliwa aliyetakiwa kudabuliwa ni hugo chavezi ashukuru kifo ,mana zoezi limefanyika kwa miaka 20 limetekelezwa jana masaa 2 na ushered

4.... tujiulize pale China ofisi ya rais ina delta force wangapi wakimarekani ndani wachina walinzi wa rais

Au
Kwa putini pale usikute hata yule mlinzi wa puti Airways anton maarufu Russian boy ni delta force siku delta force origin ikiamua putin anaweza ishi magereza ya America kaskazin
 
Hapa yeye alikuwa anawapamba wananchi Kwa kuamuru magari ya Polisi yakanyage waandamanaji?
Duniani mahala pa maajabu sana jana aliwafanyia hivyo wanadamu wenzake leo yamembadilikia yeye.
 
Venezuela yuko vizuri kuliko Tanzania.
Kijeshi ni wa 50
 
Maduro anawaambia waandishi wa habari Goodnight happy new year ni kama kachanganyikiwa aamini kilichotokea naona make wake yupo mbele hapo yupo DEA jamaa wa dawa za kulevya kapelekwa kwenye jela hapo New York City..
Binafsi nashangaa wanaoumia ni madikteta na machawa wao.
Wavenezuela wamefurahi, maana kuondoka kwake.
Wakaulizwa kuwa Marekani amefata mafuta tu, wakajibu je Wachina na Warusi wamefata nini kama si hayo mafuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…