White maria

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Anaitwa Asha Jumbe,ila jina la movie aliyowahi kucheza na marehemu kanumba inayojulikana kama WHITE MARIA,ilimpaisha zaidi huyo bidada kwani alicheza kwa kiwango cha hali ya juu sana,ni kabinti karembo,uwa nazimikag na swaga zake,ni katundu tundu fulani ivi,ana mvuto wake unaomfanya popote atapokuwepo haraka sana utatambua uwepo wake,pia alishawahi kushiriki movie ya a POINT OF NO RETURN alikuwa pamoja na ex wifi yake wema sepetu,kwa kweli nimewacheki warembo wengi sana kwenye movie zetu,ila bado nahitaji radha ya aka kadada,sijui kamepotelea wapi aisee.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kitu kidogo tu, usichukie lakini.
radha = ladha
aka kadada = haka kadada.
Asante. Sina zaidi.
 
Kitu kidogo tu, usichukie lakini.
radha = ladha
aka kadada = haka kadada.
Asante. Sina zaidi.

Yaani ndo tatizo langu mkuu,laiti wazazi wasingenipereka kure ulaya wakati nipo mdogo,aya yote yasingetokea,lugha yangu mwenyew but napat sana shida kuiandik vzur,damn it..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kitu kidogo tu, usichukie lakini.
radha = ladha
aka kadada = haka kadada.
Asante. Sina zaidi.

Asante=ahsante.next time uondoe kwanza borit la jicho lako kabla ujaondoa ya la mwenzio.Na nyani haoni kundule

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…