warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Anaitwa Asha Jumbe,ila jina la movie aliyowahi kucheza na marehemu kanumba inayojulikana kama WHITE MARIA,ilimpaisha zaidi huyo bidada kwani alicheza kwa kiwango cha hali ya juu sana,ni kabinti karembo,uwa nazimikag na swaga zake,ni katundu tundu fulani ivi,ana mvuto wake unaomfanya popote atapokuwepo haraka sana utatambua uwepo wake,pia alishawahi kushiriki movie ya a POINT OF NO RETURN alikuwa pamoja na ex wifi yake wema sepetu,kwa kweli nimewacheki warembo wengi sana kwenye movie zetu,ila bado nahitaji radha ya aka kadada,sijui kamepotelea wapi aisee.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums