Kibongobmgo hilo ndo suluhisho.Uchaguzi wa brand huendana na kipato na uelewa. So ni kweli kwa Mtanzania wa kawaida muhimu ni dawa iliyopo. Pia hata jambo la afya ya kinywa sio issue kwetu. Kama hatuwezi kufanya check up ya mwili mpaka tuumwe then hatuwezi kuwa sensitive na afya ya kinywa. Hivo kumaanisha kuwa hata uchaguzi wa dawa ya meno sio issue. We hakikisha dawa yako inapatikana sehemu zote na kwa bei nafuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
duh kupitia hii comment ndion nimefahamu leo kumbe bukta sio pensi bali ni brandColgate inaingia kwenye historia kwa Tanzania maana hata watu wengine tulikuwa tukijua labda Dawa ya kuswakia kwa Kienglish inaitwa Colgate. Hii inaungana na Shell, Bukta,Kiwi na nyingine.
Sasa utafiti wako wa Whitedent japo wewe ni mtu wao lakini Ukweli ni kwamba inajitahidi kwasababu imeweza kuwa na aina kadhaa ambazo kila mtu anapata ya kwake kama ni Herbal au ingine. Pili size wameweza kuwa na size za kila mtu halafu ofa ya Mswaki ilimaliza kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah! Blue band ! Mpaka leo mimi nauliza blueband imeisha ?sijapatapo kutumia brand nyingine toka kifo cha TanBondNadhani sio kama wana mbinu kubwa wanayotumia lakini kinachowapa advantage ni ile kuwa strong brand ambayo ilianza wakati hakuna wengine na ikaendelea ku maintain ubora wake. Wakati tunakua tulikua hatusemi dawa ya meno ulikua ukitumwa dukani unaambiwa kanunue Whitedent so hiyo imekaa vizazi na vizazi. Wengi tunakuja kujua kama kuna dawa nyingine za meno tumeshakua wakubwa. Hii pia ni ipo kwenye dawa za viatu. Tulikua tukitumwa unaambiwa kanunue KIWI na sio dawa ya viatu. Mpaka baade ukikua ndo unajua kumbe KIWI ni brand tu ila ile ni dawa ya viatu. Hivo imechukua muda kidogo hawa watu kuwatoa kwenye hiyo position waliyopo kwenye akili za wateja. But naamini baada ya miaka michache hawawezi kuendelea kuwa hivi. Kumbuka hata simu ziliitwa mobitel wakati ule kwa kuwa ndo ulikua mtandao pekee wa simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa watu hatunuki mdomo tuoe sababu za kuacha whitedent?Whitedent haina ubora kihivyo, basi tu ulofa. I am telling you tumia Dabur Herbal, you will never use those substandard brands. Kama mdomo wako unatoa harufu basi hii ndio dawa. try it , you will tell me.
Katika uchumi tu awaita price conssious customers watanunua kwa kuwa ni bei ya chini based na affordability au hawatanunua kwa kuwa bei ya chini kwa wale wanaotaka fame rejea yebo yebo slipers havikuwa vibaya lakini bei iliwafanya kipato cha juu na cha kati wasinunue wanaona wanashuka hadhi.Ni sawasawa kusema Tecno anatumia njia gani kuua brands za Iphone na Sony Tanzania au na pengine Samsung?
Simple, jibu ni "BEI".
Form II Kuna topic inaitwa DEMAND
Demand tunasema ni willing na Ability ya Customer kununua bidhaa. Sasa Whitedent ndio watanzania wana ability kubwa ya kununua Whitedent kuliko Colgate japo wanatamani (willing) kutumia product ya Colgate.
kama pikipiki zenye matairi matatu kuitwa bajaj, wakat bajaj ni brand name tu!Colgate inaingia kwenye historia kwa Tanzania maana hata watu wengine tulikuwa tukijua labda Dawa ya kuswakia kwa Kienglish inaitwa Colgate. Hii inaungana na Shell, Bukta,Kiwi na nyingine.
Sasa utafiti wako wa Whitedent japo wewe ni mtu wao lakini Ukweli ni kwamba inajitahidi kwasababu imeweza kuwa na aina kadhaa ambazo kila mtu anapata ya kwake kama ni Herbal au ingine. Pili size wameweza kuwa na size za kila mtu halafu ofa ya Mswaki ilimaliza kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio dawa mbn kama ya uarabuniWhitedent haina ubora kihivyo, basi tu ulofa. I am telling you tumia Dabur Herbal, you will never use those substandard brands. Kama mdomo wako unatoa harufu basi hii ndio dawa. try it , you will tell me.
Jamaa Umenena vyemaNadhani sio kama wana mbinu kubwa wanayotumia lakini kinachowapa advantage ni ile kuwa strong brand ambayo ilianza wakati hakuna wengine na ikaendelea ku maintain ubora wake. Wakati tunakua tulikua hatusemi dawa ya meno ulikua ukitumwa dukani unaambiwa kanunue Whitedent so hiyo imekaa vizazi na vizazi. Wengi tunakuja kujua kama kuna dawa nyingine za meno tumeshakua wakubwa. Hii pia ni ipo kwenye dawa za viatu. Tulikua tukitumwa unaambiwa kanunue KIWI na sio dawa ya viatu. Mpaka baade ukikua ndo unajua kumbe KIWI ni brand tu ila ile ni dawa ya viatu. Hivo imechukua muda kidogo hawa watu kuwatoa kwenye hiyo position waliyopo kwenye akili za wateja. But naamini baada ya miaka michache hawawezi kuendelea kuwa hivi. Kumbuka hata simu ziliitwa mobitel wakati ule kwa kuwa ndo ulikua mtandao pekee wa simu.
Sent using Jamii Forums mobile app