Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
- Thread starter
- #21
Kibongobmgo hilo ndo suluhisho.Uchaguzi wa brand huendana na kipato na uelewa. So ni kweli kwa Mtanzania wa kawaida muhimu ni dawa iliyopo. Pia hata jambo la afya ya kinywa sio issue kwetu. Kama hatuwezi kufanya check up ya mwili mpaka tuumwe then hatuwezi kuwa sensitive na afya ya kinywa. Hivo kumaanisha kuwa hata uchaguzi wa dawa ya meno sio issue. We hakikisha dawa yako inapatikana sehemu zote na kwa bei nafuu.
Sent using Jamii Forums mobile app