Kwakweli bei ndio inayofanya watu wengi watumie whitedent.Ni sawasawa kusema Tecno anatumia njia gani kuua brands za Iphone na Sony Tanzania au na pengine Samsung?
Simple, jibu ni "BEI".
Form II Kuna topic inaitwa DEMAND
Demand tunasema ni willing na Ability ya Customer kununua bidhaa. Sasa Whitedent ndio watanzania wana ability kubwa ya kununua Whitedent kuliko Colgate japo wanatamani (willing) kutumia product ya Colgate.
Hahahaaaaa!! Umenikumbusha mbali aiseee!! Kweli ulikuwa ukitumwa dukani unaambiwa ukanunue colgate sio dawa ya meno. Colgate ndio ilikuwa dawa niloizoea hadi nilipohamia kwa sensodine.mkuu hapo kusema dukani tunatumwa whitedent hadi ikawa ndo jina la dawa meno kamaa vile shell au HONDA pikipiki yoyote tu HONDA gari yotote ya kubebea mizigo ni PIKAP(PICK UP) hapana sikweri labda wewe kizazi cha mkapa kuja jk lakin sisi Kizazi cha 80 kuja mpk miaka ya 90 enzi hizo tulotumia SABUNI za
MBUNI MBUNJU ILULA BOBYSOAP KODRAI RUMI REXONA LIFEBUOY
Mafuta kupaka kama LADYGUY YU RAYS SHANTI YOLANDA tulovaa ndala za SKYWAY tulopanda CHAIMAHARAGE
ninakumbuka na ninajua kuwa COLGATE ilikuwa ndo Ilikuwa jina la dawa ya meno kipindi hicho inakimbizana na CLOSE UP wakati BLUEBAND kwa mbali walikuwa wanakimbizana na TANBOND mpk ikapotea mkuu umetumia BLUE BAND ya kopo hili wewe View attachment 580475
umeshakula mkate na TANBOND hii toka mwanza View attachment 580476 whitedante ni ya juzijuzi tu huwezi kuipa sifa hiyo unayoipaa
Unakumbuka tangazo la ITV
COLGATE NO CAVITIES !!
kingine ni kwamba ukitumia WHITEDENT unadumaza meno yako na unayaumiza na hata ukienda KUNG'OA JINO docta lazima akuulize hili swali wewe unatumia WHITEDENT
na wanaong'oa meno Hosptari 90% ni watumiaji wa WHITEDENT
Kuna kampuni mbili hapa bongo zilikuwa juu sana ila walipo jichanganya tu miaka ya tisini basi wakapigwa bao la ajabu.Nadhani kila mmoja wetu ni mtumiaji wa dawa ya meno, na katika soko letu Whitedent imeteka kabisa soko kiasi kwamba kila BRAND nyingine inayojaribu kujipenyeza inapigwa mweleka, why ?
- Colgate ni brand kubwa duniani lakini hapa kwetu imeshindwa kabisa kufanya vizuri licha ya matangazo wakati Whitedent hata hawana matangazo !!
- Aha ilikufa, AfyaDent haijulikani ilipo, Aloe zinasuasua!
SIRI YA WHITEDENT ni nini ?
Wewe umenena na atleast ni mkongwe,toka zamani tulikuwa tunatumia Colgate kama dawa ya meno enzi hizo kuna redimedi.Colgate inaingia kwenye historia kwa Tanzania maana hata watu wengine tulikuwa tukijua labda Dawa ya kuswakia kwa Kienglish inaitwa Colgate. Hii inaungana na Shell, Bukta,Kiwi na nyingine.
Sasa utafiti wako wa Whitedent japo wewe ni mtu wao lakini Ukweli ni kwamba inajitahidi kwasababu imeweza kuwa na aina kadhaa ambazo kila mtu anapata ya kwake kama ni Herbal au ingine. Pili size wameweza kuwa na size za kila mtu halafu ofa ya Mswaki ilimaliza kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
pikipiki pia zilikuwa zikiitwa 'Honda'Nadhani sio kama wana mbinu kubwa wanayotumia lakini kinachowapa advantage ni ile kuwa strong brand ambayo ilianza wakati hakuna wengine na ikaendelea ku maintain ubora wake. Wakati tunakua tulikua hatusemi dawa ya meno ulikua ukitumwa dukani unaambiwa kanunue Whitedent so hiyo imekaa vizazi na vizazi. Wengi tunakuja kujua kama kuna dawa nyingine za meno tumeshakua wakubwa. Hii pia ni ipo kwenye dawa za viatu. Tulikua tukitumwa unaambiwa kanunue KIWI na sio dawa ya viatu. Mpaka baade ukikua ndo unajua kumbe KIWI ni brand tu ila ile ni dawa ya viatu. Hivo imechukua muda kidogo hawa watu kuwatoa kwenye hiyo position waliyopo kwenye akili za wateja. But naamini baada ya miaka michache hawawezi kuendelea kuwa hivi. Kumbuka hata simu ziliitwa mobitel wakati ule kwa kuwa ndo ulikua mtandao pekee wa simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
You serious??
Mass marketing, ujazo, kuelewa wateja wanataka nini (yaani kubadili taste ya dawa kulingana na vionjo vya wateja).Nadhani kila mmoja wetu ni mtumiaji wa dawa ya meno, na katika soko letu Whitedent imeteka kabisa soko kiasi kwamba kila BRAND nyingine inayojaribu kujipenyeza inapigwa mweleka, why ?
- Colgate ni brand kubwa duniani lakini hapa kwetu imeshindwa kabisa kufanya vizuri licha ya matangazo wakati Whitedent hata hawana matangazo !!
- Aha ilikufa, AfyaDent haijulikani ilipo, Aloe zinasuasua!
SIRI YA WHITEDENT ni nini ?
Aisee itakuwa shida ni nini?? ubora wa hali ya chini eeWhitedent kwa upande wangu nikitumia meno huniuma hata kutafuna nyama ni shida ila nikitumia Colgate mambo yanakuwa fresha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu hiyo topic ya Demand form 2 ni ya nchi gani?Ni sawasawa kusema Tecno anatumia njia gani kuua brands za Iphone na Sony Tanzania au na pengine Samsung?
Simple, jibu ni "BEI".
Form II Kuna topic inaitwa DEMAND
Demand tunasema ni willing na Ability ya Customer kununua bidhaa. Sasa Whitedent ndio watanzania wana ability kubwa ya kununua Whitedent kuliko Colgate japo wanatamani (willing) kutumia product ya Colgate.
Plus vituo vya mafuta tunaviita Shell mara nyingi wakati Shell ni cama total, puma etcNadhani sio kama wana mbinu kubwa wanayotumia lakini kinachowapa advantage ni ile kuwa strong brand ambayo ilianza wakati hakuna wengine na ikaendelea ku maintain ubora wake. Wakati tunakua tulikua hatusemi dawa ya meno ulikua ukitumwa dukani unaambiwa kanunue Whitedent so hiyo imekaa vizazi na vizazi. Wengi tunakuja kujua kama kuna dawa nyingine za meno tumeshakua wakubwa. Hii pia ni ipo kwenye dawa za viatu. Tulikua tukitumwa unaambiwa kanunue KIWI na sio dawa ya viatu. Mpaka baade ukikua ndo unajua kumbe KIWI ni brand tu ila ile ni dawa ya viatu. Hivo imechukua muda kidogo hawa watu kuwatoa kwenye hiyo position waliyopo kwenye akili za wateja. But naamini baada ya miaka michache hawawezi kuendelea kuwa hivi. Kumbuka hata simu ziliitwa mobitel wakati ule kwa kuwa ndo ulikua mtandao pekee wa simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono kiongozi. Kuna size tofauti, kuna mswaki. Mimi mdau wa Whitedent HerbalColgate inaingia kwenye historia kwa Tanzania maana hata watu wengine tulikuwa tukijua labda Dawa ya kuswakia kwa Kienglish inaitwa Colgate. Hii inaungana na Shell, Bukta,Kiwi na nyingine.
Sasa utafiti wako wa Whitedent japo wewe ni mtu wao lakini Ukweli ni kwamba inajitahidi kwasababu imeweza kuwa na aina kadhaa ambazo kila mtu anapata ya kwake kama ni Herbal au ingine. Pili size wameweza kuwa na size za kila mtu halafu ofa ya Mswaki ilimaliza kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetumia mara ya mwisho mwaka jana hiyo whitedent, nilipooa tu wife akasema achana na hizo tope [emoji16][emoji16][emoji16] sasahivi ni mwendo wa colgate tena mwenyewe anajua duka lenye colgate originalNadhani kila mmoja wetu ni mtumiaji wa dawa ya meno, na katika soko letu Whitedent imeteka kabisa soko kiasi kwamba kila BRAND nyingine inayojaribu kujipenyeza inapigwa mweleka, why ?
- Colgate ni brand kubwa duniani lakini hapa kwetu imeshindwa kabisa kufanya vizuri licha ya matangazo wakati Whitedent hata hawana matangazo !!
- Aha ilikufa, AfyaDent haijulikani ilipo, Aloe zinasuasua!
SIRI YA WHITEDENT ni nini ?