mkuu hapo kusema dukani tunatumwa whitedent hadi ikawa ndo jina la dawa meno kamaa vile shell au HONDA pikipiki yoyote tu HONDA gari yotote ya kubebea mizigo ni PIKAP(PICK UP) hapana sikweri labda wewe kizazi cha mkapa kuja jk lakin sisi Kizazi cha 80 kuja mpk miaka ya 90 enzi hizo tulotumia SABUNI za
MBUNI MBUNJU ILULA BOBYSOAP KODRAI RUMI REXONA LIFEBUOY
Mafuta kupaka kama LADYGUY YU RAYS SHANTI YOLANDA tulovaa ndala za SKYWAY tulopanda CHAIMAHARAGE
ninakumbuka na ninajua kuwa COLGATE ilikuwa ndo Ilikuwa jina la dawa ya meno kipindi hicho inakimbizana na CLOSE UP wakati BLUEBAND kwa mbali walikuwa wanakimbizana na TANBOND mpk ikapotea mkuu umetumia BLUE BAND ya kopo hili wewe
View attachment 580475
umeshakula mkate na TANBOND hii toka mwanza
View attachment 580476 whitedante ni ya juzijuzi tu huwezi kuipa sifa hiyo unayoipaa
Unakumbuka tangazo la ITV
COLGATE NO CAVITIES !!
kingine ni kwamba ukitumia WHITEDENT unadumaza meno yako na unayaumiza na hata ukienda KUNG'OA JINO docta lazima akuulize hili swali wewe unatumia WHITEDENT
na wanaong'oa meno Hosptari 90% ni watumiaji wa WHITEDENT