mo courtinho
Senior Member
- Mar 18, 2017
- 198
- 145
Mkuu umezaliwa mwaka gan ww? Mana mm tokea nmezaliwa, nakua enz izo miaka ya 90 colgate ndo ilikua dawa inayopatkana kwa wng.. Whtdnt co imekuja majuz tu apa? Au ww ni wa 2000s nn?Nadhani sio kama wana mbinu kubwa wanayotumia lakini kinachowapa advantage ni ile kuwa strong brand ambayo ilianza wakati hakuna wengine na ikaendelea ku maintain ubora wake. Wakati tunakua tulikua hatusemi dawa ya meno ulikua ukitumwa dukani unaambiwa kanunue Whitedent so hiyo imekaa vizazi na vizazi. Wengi tunakuja kujua kama kuna dawa nyingine za meno tumeshakua wakubwa. Hii pia ni ipo kwenye dawa za viatu. Tulikua tukitumwa unaambiwa kanunue KIWI na sio dawa ya viatu. Mpaka baade ukikua ndo unajua kumbe KIWI ni brand tu ila ile ni dawa ya viatu. Hivo imechukua muda kidogo hawa watu kuwatoa kwenye hiyo position waliyopo kwenye akili za wateja. But naamini baada ya miaka michache hawawezi kuendelea kuwa hivi. Kumbuka hata simu ziliitwa mobitel wakati ule kwa kuwa ndo ulikua mtandao pekee wa simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua umezaliwa Masaki au Oysterbay. Sisi wa kwa mfuga mbwa Colgate tumeijulia ukubwaniMkuu umezaliwa mwaka gan ww? Mana mm tokea nmezaliwa, nakua enz izo miaka ya 90 colgate ndo ilikua dawa inayopatkana kwa wng.. Whtdnt co imekuja majuz tu apa? Au ww ni wa 2000s nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona yangu hayajatoboka?
Ndiyo, kwa mujibu wa report ya professor Emil Kikwilu wa muhimbili whitedent ina fluoride chini ya kiwango kinacho pendekezwa!, Fluoride ndo ingredient inayo linda meno yasitoboke. Kwa mujibu wa utafiti ule Aha ilikuwa na fluoride ya kutosha. (Inasemekana Aha ilinunuliwa na whitedent baada ya riport hiyo)
Naunga mkono hoja, Dabur nzuri mnoWhitedent haina ubora kihivyo, basi tu ulofa. I am telling you tumia Dabur Herbal, you will never use those substandard brands. Kama mdomo wako unatoa harufu basi hii ndio dawa. try it , you will tell me.
Daaah hatari sana,Ndiyo, kwa mujibu wa report ya professor Emil Kikwilu wa muhimbili whitedent ina fluoride chini ya kiwango kinacho pendekezwa!, Fluoride ndo ingredient inayo linda meno yasitoboke. Kwa mujibu wa utafiti ule Aha ilikuwa na fluoride ya kutosha. (Inasemekana Aha ilinunuliwa na whitedent baada ya riport hiyo)
Whitedent kwa upande wangu nikitumia meno huniuma hata kutafuna nyama ni shida ila nikitumia Colgate mambo yanakuwa fresha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dawa ilikuwa yaitwa Bonamed ilikuwa mzuri sana sijui imepotelea wapi?
We umekuwa enzi gani? Dawa iliyokuwa maarufu ni colgate.....na wazazi walikuwa wakitutuma colgate sio whitedent.Nadhani sio kama wana mbinu kubwa wanayotumia lakini kinachowapa advantage ni ile kuwa strong brand ambayo ilianza wakati hakuna wengine na ikaendelea ku maintain ubora wake. Wakati tunakua tulikua hatusemi dawa ya meno ulikua ukitumwa dukani unaambiwa kanunue Whitedent so hiyo imekaa vizazi na vizazi. Wengi tunakuja kujua kama kuna dawa nyingine za meno tumeshakua wakubwa. Hii pia ni ipo kwenye dawa za viatu. Tulikua tukitumwa unaambiwa kanunue KIWI na sio dawa ya viatu. Mpaka baade ukikua ndo unajua kumbe KIWI ni brand tu ila ile ni dawa ya viatu. Hivo imechukua muda kidogo hawa watu kuwatoa kwenye hiyo position waliyopo kwenye akili za wateja. But naamini baada ya miaka michache hawawezi kuendelea kuwa hivi. Kumbuka hata simu ziliitwa mobitel wakati ule kwa kuwa ndo ulikua mtandao pekee wa simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thubutuuu,Unamaanisha kama itatoe dawa yenye bei ya chini kidogo kuliko Whitedent inaweza kushindana na Whitedent ?
Issue sio enzi issue ni kuwa pia hali ya kipato. Sisi wa kupambana na hali zetu Colgate tumeijua ukubwaniWe umekuwa enzi gani? Dawa iliyokuwa maarufu ni colgate.....na wazazi walikuwa wakitutuma colgate sio whitedent.
Sukari Yenu