Whitedent wanatumia Siri gani "kuua" brands nyingine za dawa za meno eg "Aha, AfyaDent na Colgate ?

Whitedent wanatumia Siri gani "kuua" brands nyingine za dawa za meno eg "Aha, AfyaDent na Colgate ?

Colgate ni OK isipokuwa bei ni mbaya. Halafu tube zao wanajaza upepo dawa kidogo. Tabia hii ni common hata kwa sabuni za unga, vibiriti, nk. TBS na TFDA wana kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani sio kama wana mbinu kubwa wanayotumia lakini kinachowapa advantage ni ile kuwa strong brand ambayo ilianza wakati hakuna wengine na ikaendelea ku maintain ubora wake. Wakati tunakua tulikua hatusemi dawa ya meno ulikua ukitumwa dukani unaambiwa kanunue Whitedent so hiyo imekaa vizazi na vizazi. Wengi tunakuja kujua kama kuna dawa nyingine za meno tumeshakua wakubwa. Hii pia ni ipo kwenye dawa za viatu. Tulikua tukitumwa unaambiwa kanunue KIWI na sio dawa ya viatu. Mpaka baade ukikua ndo unajua kumbe KIWI ni brand tu ila ile ni dawa ya viatu. Hivo imechukua muda kidogo hawa watu kuwatoa kwenye hiyo position waliyopo kwenye akili za wateja. But naamini baada ya miaka michache hawawezi kuendelea kuwa hivi. Kumbuka hata simu ziliitwa mobitel wakati ule kwa kuwa ndo ulikua mtandao pekee wa simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umezaliwa mwaka gan ww? Mana mm tokea nmezaliwa, nakua enz izo miaka ya 90 colgate ndo ilikua dawa inayopatkana kwa wng.. Whtdnt co imekuja majuz tu apa? Au ww ni wa 2000s nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
so whitedent haina ubora?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo, kwa mujibu wa report ya professor Emil Kikwilu wa muhimbili whitedent ina fluoride chini ya kiwango kinacho pendekezwa!, Fluoride ndo ingredient inayo linda meno yasitoboke. Kwa mujibu wa utafiti ule Aha ilikuwa na fluoride ya kutosha. (Inasemekana Aha ilinunuliwa na whitedent baada ya riport hiyo)
 
Whitedent haina ubora kihivyo, basi tu ulofa. I am telling you tumia Dabur Herbal, you will never use those substandard brands. Kama mdomo wako unatoa harufu basi hii ndio dawa. try it , you will tell me.
Naunga mkono hoja, Dabur nzuri mno
 
Ndiyo, kwa mujibu wa report ya professor Emil Kikwilu wa muhimbili whitedent ina fluoride chini ya kiwango kinacho pendekezwa!, Fluoride ndo ingredient inayo linda meno yasitoboke. Kwa mujibu wa utafiti ule Aha ilikuwa na fluoride ya kutosha. (Inasemekana Aha ilinunuliwa na whitedent baada ya riport hiyo)
Daaah hatari sana,
 
mysterio DABUR HERBAL NI KIBOKO ASEH, SEMA BEI KUBWA KULIKO WHITE DENT

WHITE IMEJIJENGEA JINA MDA MREFU HVYO WATU WANANUNUA KWA MAZOEA

WHITEDENT BEI NDOGO KULIKO COLGATE ILA KWA UBORA COLGATE IPO JUU, WABONGO HAWAANGALII UBORA WANACHEKI BEI.

MIMI SIWEZI KUTUMIA WHITEDENT, DAWA MBOVU SANA NA INAHARIBU MENO, HAISAFISH MENO VIZURI, INANUKA SANA NA HAITOI HARUFU YA MDOMO IPASAVYO NA WALA HAILINDI MDOMO KWA MUDA MREFU

dabur herbal ukipata ile ya karafuu mdomo unauona mwepesi
 
Dawa zangu ni tatu tuu. Colgate au Close UP na Sensodine. Hizo nyingine ziniache kwanza.
 
Whitedent kwa upande wangu nikitumia meno huniuma hata kutafuna nyama ni shida ila nikitumia Colgate mambo yanakuwa fresha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli tunatofautiana..mimi Colgate ndiyo inafanya meno yangu yanakuwa sensitive balaa, hata nikivuta hewa ndani meno yanazizima....nikakubali inipite tu...
 
Tumia Colgate Maxfresh then nenda utumie whitedent herbal halafu leta majibu. Colgate ina hadhi na ni international brand, inakubalika na kufanya vizuri worldwide.

Bahati mbaya wewe umeongelea soko la Tanzania, watanzania wanachoangalia ni bei na wala sio ubora...
 
Nadhani sio kama wana mbinu kubwa wanayotumia lakini kinachowapa advantage ni ile kuwa strong brand ambayo ilianza wakati hakuna wengine na ikaendelea ku maintain ubora wake. Wakati tunakua tulikua hatusemi dawa ya meno ulikua ukitumwa dukani unaambiwa kanunue Whitedent so hiyo imekaa vizazi na vizazi. Wengi tunakuja kujua kama kuna dawa nyingine za meno tumeshakua wakubwa. Hii pia ni ipo kwenye dawa za viatu. Tulikua tukitumwa unaambiwa kanunue KIWI na sio dawa ya viatu. Mpaka baade ukikua ndo unajua kumbe KIWI ni brand tu ila ile ni dawa ya viatu. Hivo imechukua muda kidogo hawa watu kuwatoa kwenye hiyo position waliyopo kwenye akili za wateja. But naamini baada ya miaka michache hawawezi kuendelea kuwa hivi. Kumbuka hata simu ziliitwa mobitel wakati ule kwa kuwa ndo ulikua mtandao pekee wa simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
We umekuwa enzi gani? Dawa iliyokuwa maarufu ni colgate.....na wazazi walikuwa wakitutuma colgate sio whitedent.

Sukari Yenu
 
Back
Top Bottom