kemondaro57
Member
- Jun 17, 2017
- 67
- 52
Jiandae kuwa kibogoyo Uzeeni, waulize wazee wa kizungu wengi ni vibogoyo!Nimetumia mara ya mwisho mwaka jana hiyo whitedent, nilipooa tu wife akasema achana na hizo tope [emoji16][emoji16][emoji16] sasahivi ni mwendo wa colgate tena mwenyewe anajua duka lenye colgate original
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la colgate feki ni nyingi mno,so kujua ipi n ipi kwa wabongo ni ngumu sana.
Unajua jinsi ya kuzitofautisha mkuu utujuze?Tatizo la colgate feki ni nyingi mno,so kujua ipi n ipi kwa wabongo ni ngumu sana.
Whitedent kwangu Hamna kitu,Dawa bora naitumia tangu naanza kujitambua ni Colgate nikitumia Whitedent nakuwa sawa na mtu aliyekurupuka tu na kuondoka bila kupiga mswakiNadhani kila mmoja wetu ni mtumiaji wa dawa ya meno, na katika soko letu Whitedent imeteka kabisa soko kiasi kwamba kila BRAND nyingine inayojaribu kujipenyeza inapigwa mweleka, why ?
- Colgate ni brand kubwa duniani lakini hapa kwetu imeshindwa kabisa kufanya vizuri licha ya matangazo wakati Whitedent hata hawana matangazo !!
- Aha ilikufa, AfyaDent haijulikani ilipo, Aloe zinasuasua!
SIRI YA WHITEDENT ni nini ?
Hadi leo mtu akienda Dukani hata kama anataka Whitedent atasema naomba ColgateColgate inaingia kwenye historia kwa Tanzania maana hata watu wengine tulikuwa tukijua labda Dawa ya kuswakia kwa Kienglish inaitwa Colgate. Hii inaungana na Shell, Bukta,Kiwi na nyingine.
Sasa utafiti wako wa Whitedent japo wewe ni mtu wao lakini Ukweli ni kwamba inajitahidi kwasababu imeweza kuwa na aina kadhaa ambazo kila mtu anapata ya kwake kama ni Herbal au ingine. Pili size wameweza kuwa na size za kila mtu halafu ofa ya Mswaki ilimaliza kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Za Aloe vera hata Kama bei iko chini watu wanahisi ni usanii kutokana na staili ya wasambazaji wake(Network marketers) ambao hutumia maneno mengi sana kuwarubuni watu.Ndogo kuzidi hata Dawa za meno za Aloevera ( Forever ) ?
Mkuu ni kweli Colgate ina quality kubwa kuliko whitedent na hata Mimi naipenda lkn shida haipo consistent kwenye market.Whitedent kwangu Hamna kitu,Dawa bora naitumia tangu naanza kujitambua ni Colgate nikitumia Whitedent nakuwa sawa na mtu aliyekurupuka tu na kuondoka bila kupiga mswaki
Nikweli mkuu, na hazija fika hadi interior of Tz kama WhitedentMkuu ni kweli Colgate ina quality kubwa kuliko whitedent na hata Mimi naipenda lkn shida haipo consistent kwenye market.
Zilikuwepo miaka ya zamani sana badae zikapotea kabisa halaf miaka hii ya karibuni zimeanza kuingia tena but haziko reliably supplied.
Maduka ya mtaani hazionekani hadi ukazitafute kwenye supermarkets so kwa hii tendency ina disappoint wateja but whitedent wapo consistent tangu wameanza hadi leo.
Naunga mkono hoja kuna brand ambazo hazihitaji matangazo maana whitedent dawa zao ni nyingi sana madukani kushinda hizo nyingine na pia zina ubora kushinda arovel na bei ni ya kitanzania ( affordable ) hivyo watoto kujua dawa ya meno ni whtdent ni lazima kama sisi tulivyojua kua bic ni kingereza cha kalamu ,wakat kalamu ni 'pen' ila sisi wa enzi hizo ukisema bic tulijua ni sawa na penNadhani sio kama wana mbinu kubwa wanayotumia lakini kinachowapa advantage ni ile kuwa strong brand ambayo ilianza wakati hakuna wengine na ikaendelea ku maintain ubora wake. Wakati tunakua tulikua hatusemi dawa ya meno ulikua ukitumwa dukani unaambiwa kanunue Whitedent so hiyo imekaa vizazi na vizazi. Wengi tunakuja kujua kama kuna dawa nyingine za meno tumeshakua wakubwa. Hii pia ni ipo kwenye dawa za viatu. Tulikua tukitumwa unaambiwa kanunue KIWI na sio dawa ya viatu. Mpaka baade ukikua ndo unajua kumbe KIWI ni brand tu ila ile ni dawa ya viatu. Hivo imechukua muda kidogo hawa watu kuwatoa kwenye hiyo position waliyopo kwenye akili za wateja. But naamini baada ya miaka michache hawawezi kuendelea kuwa hivi. Kumbuka hata simu ziliitwa mobitel wakati ule kwa kuwa ndo ulikua mtandao pekee wa simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana mkuu,mi mwenyewe ni mhanga wa colgate feki had leo sina mpango na hizo dawaUnajua jinsi ya kuzitofautisha mkuu utujuze?
Huu ni mwaka wa pili sijapiga mswakiMimi hii ndio dawa yangu ya meno bora katika bara hili la Africa