Whitedent wanatumia Siri gani "kuua" brands nyingine za dawa za meno eg "Aha, AfyaDent na Colgate ?

Whitedent wanatumia Siri gani "kuua" brands nyingine za dawa za meno eg "Aha, AfyaDent na Colgate ?

Nimetumia mara ya mwisho mwaka jana hiyo whitedent, nilipooa tu wife akasema achana na hizo tope [emoji16][emoji16][emoji16] sasahivi ni mwendo wa colgate tena mwenyewe anajua duka lenye colgate original

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiandae kuwa kibogoyo Uzeeni, waulize wazee wa kizungu wengi ni vibogoyo!
Mie huwa natafuna alovera zangu asubuhi au majani ya mpera [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
phala, huwezifananisha Colgate na izo taka taka zako ulizozitaja
 
whitedent anauza bei chee kila mtanzania hasa wenye hali ya chini wanauwezo wa kumiliki dawa ya meno.
 
Nadhani kila mmoja wetu ni mtumiaji wa dawa ya meno, na katika soko letu Whitedent imeteka kabisa soko kiasi kwamba kila BRAND nyingine inayojaribu kujipenyeza inapigwa mweleka, why ?

- Colgate ni brand kubwa duniani lakini hapa kwetu imeshindwa kabisa kufanya vizuri licha ya matangazo wakati Whitedent hata hawana matangazo !!

- Aha ilikufa, AfyaDent haijulikani ilipo, Aloe zinasuasua!

SIRI YA WHITEDENT ni nini ?
Whitedent kwangu Hamna kitu,Dawa bora naitumia tangu naanza kujitambua ni Colgate nikitumia Whitedent nakuwa sawa na mtu aliyekurupuka tu na kuondoka bila kupiga mswaki
 
Colgate inaingia kwenye historia kwa Tanzania maana hata watu wengine tulikuwa tukijua labda Dawa ya kuswakia kwa Kienglish inaitwa Colgate. Hii inaungana na Shell, Bukta,Kiwi na nyingine.

Sasa utafiti wako wa Whitedent japo wewe ni mtu wao lakini Ukweli ni kwamba inajitahidi kwasababu imeweza kuwa na aina kadhaa ambazo kila mtu anapata ya kwake kama ni Herbal au ingine. Pili size wameweza kuwa na size za kila mtu halafu ofa ya Mswaki ilimaliza kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi leo mtu akienda Dukani hata kama anataka Whitedent atasema naomba Colgate
 
Ndogo kuzidi hata Dawa za meno za Aloevera ( Forever ) ?
Za Aloe vera hata Kama bei iko chini watu wanahisi ni usanii kutokana na staili ya wasambazaji wake(Network marketers) ambao hutumia maneno mengi sana kuwarubuni watu.
 
Whitedent kwangu Hamna kitu,Dawa bora naitumia tangu naanza kujitambua ni Colgate nikitumia Whitedent nakuwa sawa na mtu aliyekurupuka tu na kuondoka bila kupiga mswaki
Mkuu ni kweli Colgate ina quality kubwa kuliko whitedent na hata Mimi naipenda lkn shida haipo consistent kwenye market.
Zilikuwepo miaka ya zamani sana badae zikapotea kabisa halaf miaka hii ya karibuni zimeanza kuingia tena but haziko reliably supplied.
Maduka ya mtaani hazionekani hadi ukazitafute kwenye supermarkets so kwa hii tendency ina disappoint wateja but whitedent wapo consistent tangu wameanza hadi leo.
 
Mkuu ni kweli Colgate ina quality kubwa kuliko whitedent na hata Mimi naipenda lkn shida haipo consistent kwenye market.
Zilikuwepo miaka ya zamani sana badae zikapotea kabisa halaf miaka hii ya karibuni zimeanza kuingia tena but haziko reliably supplied.
Maduka ya mtaani hazionekani hadi ukazitafute kwenye supermarkets so kwa hii tendency ina disappoint wateja but whitedent wapo consistent tangu wameanza hadi leo.
Nikweli mkuu, na hazija fika hadi interior of Tz kama Whitedent
 
Nadhani sio kama wana mbinu kubwa wanayotumia lakini kinachowapa advantage ni ile kuwa strong brand ambayo ilianza wakati hakuna wengine na ikaendelea ku maintain ubora wake. Wakati tunakua tulikua hatusemi dawa ya meno ulikua ukitumwa dukani unaambiwa kanunue Whitedent so hiyo imekaa vizazi na vizazi. Wengi tunakuja kujua kama kuna dawa nyingine za meno tumeshakua wakubwa. Hii pia ni ipo kwenye dawa za viatu. Tulikua tukitumwa unaambiwa kanunue KIWI na sio dawa ya viatu. Mpaka baade ukikua ndo unajua kumbe KIWI ni brand tu ila ile ni dawa ya viatu. Hivo imechukua muda kidogo hawa watu kuwatoa kwenye hiyo position waliyopo kwenye akili za wateja. But naamini baada ya miaka michache hawawezi kuendelea kuwa hivi. Kumbuka hata simu ziliitwa mobitel wakati ule kwa kuwa ndo ulikua mtandao pekee wa simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja kuna brand ambazo hazihitaji matangazo maana whitedent dawa zao ni nyingi sana madukani kushinda hizo nyingine na pia zina ubora kushinda arovel na bei ni ya kitanzania ( affordable ) hivyo watoto kujua dawa ya meno ni whtdent ni lazima kama sisi tulivyojua kua bic ni kingereza cha kalamu ,wakat kalamu ni 'pen' ila sisi wa enzi hizo ukisema bic tulijua ni sawa na pen
 
COLGATE NI HABARI NYINGINE USISAFANANISHE NA HAYO ya Bei RAHISI,maujazo mengi ubora kiduchuuuuu watu wanakimbilia mpaketi mkubwa Bei nduchu matumizi miezi kadhaaa bila kujalia athari
 
Back
Top Bottom