Whitesands Hotel wanalipa sh 8,000/= (elfu nane) kwa mwezi

Uswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,204
Reaction score
627
Nilipata taarifa kwamba watu wanaoanza kazi Whitesands hotel kama trainees wanalipwa sh 8,000/= sikuamini, nikafunga safari hadi hotelini, baada ya UCHUNGUZI wangu wa kina ninathibitsha kwamba WHITESANDS HOTEL wanaajiri watu (cleaners) wao anatumia neno trainees ili wasionekane kama wanafunzi lakini wanawatumia watu hawa kufanya kazi za usafi kwa ujira wa sh 8,000/= elfu nane tu kwa mwezi

Hawa wanaoajiriwa ni watu wa hali ya chini sana ambao hawawazi hata kureport uonevu huu.

Wabunge acheni kupitisha tu misamaha ya kodi, hebu fumbueni macho muone jinsi hali ilivo
 
Whaaat, haiwezekani! 8,000 kwa mwezi?
 
You can't be serious, Sir!
8K a month won't be enough even for the daladala fare!
 
tanzania inawezekana

mbunge anataka posho iwe laki 5
 
You can't be serious, Sir!
8K a month won't be enough even for the daladala fare!

wale vijana hata wakilipwa elfu tatu, hasa wale wa kwenye pool watafanya na sia ajabu hapandi hizo daladala ila wana magari yao.
 
Kwa nini? I hope its not what I am thinking "chabo".
 
Ni hicho hicho, hivi ni kazi gani hapa mjini itakupa access ya kuangalia watoto wakali wakiwa na vichupi tu tena vimelowa? tena wakati mwingine kuna bonus ya kuvikanyaga vibibi vya kizungu wanaondoka hadi dola mia tano kwa siku.
 
|Ndio wanaendesha Blue Pearl pale Ubungo Plaza,pale ukumbi kukodi kwa saa sita ni millioni 6,vyakula na vinywaji vikibaki kwenye sherehe vinakuwa vyao,hakuna cha kudai mameneja wote wahindi,wafagizi,waiter wote waswahili,pale nje wamekodisha ********* mwingine anaendesha mgahawa,hilio ndio shamba la bibi bandugu
 
Whaaat, haiwezekani! 8,000 kwa mwezi?

Mi mwanaJF kitambo, i know rules of the game, siwezi kuandika kitu nisichokua na uhakika nacho, nimeenda hadi hotel na huo ndio ukweli 8,000/= kwa mwezi

Yes wanakula hotelini na wanapewa usafiri hadi AFRIKANA tu! wanafanya kazi katika mazingira magumu sana, elfu nane kwa mwezi ni sawa na sh 265 kwa siku!
 
You can't be serious, Sir!
8K a month won't be enough even for the daladala fare!

I am very very serious chief, I want to report this, for sure it is not acceptable, just don't know where to report
 
hahahaha Unataka kujua wanwezaje kuishi.

Ni hivi hata kama ujira wao ni zaidi ya 8,000 kuna pesa wanaipata kwa kutoa huduma kama ile ambayo Strauss Khan ana kesi kule USA. The same anavyotuhumiwa straus Khan basi na hawa dada zetu inabidi wagawe "utamu" wao wakiombwa wakiingia vyumbani kusafsha

Endelea kufanya research utashangaaaa. Previously nilijua huduma hiyo ni bongo tu kumbe ni international tofauti labda ni kiasi cha pesa

Inasikitisha lakini ndo hivyoooo sijui wa kuwalaumu ni hao wahudumu kwa utotoa taarifa au watu wengine...
 
Kwamba wanafanya hiyo biashara ya ziada au lah haiwezi kuhalalisha kumlipa mtu elfu nane kwa mwezi, wewe ukila pale msosi ni kuanzia elfu 25 hadi elfu 40 kutegemea na menu ulochagua (kwa mtu mmoja,) yaani wewe ukila mara moja umelipa mshahara wa watu 3 hadi 5 kwa mwezi!
 
Kama hii ni kweli basi huu ni uonevu uliokithiri!
 
Ni hicho hicho, hivi ni kazi gani hapa mjini itakupa access ya kuangalia watoto wakali wakiwa na vichupi tu tena vimelowa? tena wakati mwingine kuna bonus ya kuvikanyaga vibibi vya kizungu wanaondoka hadi dola mia tano kwa siku.

Du hii kali!
 
Nilipata taarifa kwamba watu wanaoanza kazi Whitesands hotel kama trainees wanalipwa sh 8,000/= sikuamini, nikafunga safari hadi hotelini, baada ya UCHUNGUZI wangu wa kina ninathibitsha kwamba WHITESANDS HOTEL wanaajiri watu (cleaners) wao anatumia neno trainees ili wasionekane kama wanafunzi lakini wanawatumia watu hawa kufanya kazi za usafi kwa ujira wa sh 8,000/= elfu nane tu kwa mweziHawa wanaoajiriwa ni watu wa hali ya chini sana ambao hawawazi hata kureport uonevu huu.Wabunge acheni kupitisha tu misamaha ya kodi, hebu fumbueni macho muone jinsi hali ilivo
Ubnaweza kuua mtu kwa hasira. Haya ndiyo maisha bora kwa kila Mtanzania. Na pia hizi ndio ajira alizotuahide mzee wa mbayuwayu.
 
Back
Top Bottom