Nilipata taarifa kwamba watu wanaoanza kazi Whitesands hotel kama trainees wanalipwa sh 8,000/= sikuamini, nikafunga safari hadi hotelini, baada ya UCHUNGUZI wangu wa kina ninathibitsha kwamba WHITESANDS HOTEL wanaajiri watu (cleaners) wao anatumia neno trainees ili wasionekane kama wanafunzi lakini wanawatumia watu hawa kufanya kazi za usafi kwa ujira wa sh 8,000/= elfu nane tu kwa mwezi
Hawa wanaoajiriwa ni watu wa hali ya chini sana ambao hawawazi hata kureport uonevu huu.
Wabunge acheni kupitisha tu misamaha ya kodi, hebu fumbueni macho muone jinsi hali ilivo
Hawa wanaoajiriwa ni watu wa hali ya chini sana ambao hawawazi hata kureport uonevu huu.
Wabunge acheni kupitisha tu misamaha ya kodi, hebu fumbueni macho muone jinsi hali ilivo