Nilipata taarifa kwamba watu wanaoanza kazi Whitesands hotel kama trainees wanalipwa sh 8,000/= sikuamini, nikafunga safari hadi hotelini, baada ya UCHUNGUZI wangu wa kina ninathibitsha kwamba WHITESANDS HOTEL wanaajiri watu (cleaners) wao anatumia neno trainees ili wasionekane kama wanafunzi lakini wanawatumia watu hawa kufanya kazi za usafi kwa ujira wa sh 8,000/= elfu nane tu kwa mwezi
Hawa wanaoajiriwa ni watu wa hali ya chini sana ambao hawawazi hata kureport uonevu huu.
Wabunge acheni kupitisha tu misamaha ya kodi, hebu fumbueni macho muone jinsi hali ilivo
You can't be serious, Sir!
8K a month won't be enough even for the daladala fare!
wale vijana hata wakilipwa elfu tatu, hasa wale wa kwenye pool watafanya na sia ajabu hapandi hizo daladala ila wana magari yao.
Kwa nini? I hope its not what I am thinking "chabo".
Whaaat, haiwezekani! 8,000 kwa mwezi?
You can't be serious, Sir!
8K a month won't be enough even for the daladala fare!
hahahaha Unataka kujua wanwezaje kuishi.
Ni hivi hata kama ujira wao ni zaidi ya 8,000 kuna pesa wanaipata kwa kutoa huduma kama ile ambayo Strauss Khan ana kesi kule USA. The same anavyotuhumiwa straus Khan basi na hawa dada zetu inabidi wagawe "utamu" wao wakiombwa wakiingia vyumbani kusafsha
Endelea kufanya research utashangaaaa. Previously nilijua huduma hiyo ni bongo tu kumbe ni international tofauti labda ni kiasi cha pesa
Inasikitisha lakini ndo hivyoooo sijui wa kuwalaumu ni hao wahudumu kwa utotoa taarifa au watu wengine...
utakuta kuna mzunugu/mhindi mkenya analipwa zaidi ya $1,000/= ndani ya hio hoteliKama hii ni kweli basi huu ni uonevu uliokithiri!
Ni hicho hicho, hivi ni kazi gani hapa mjini itakupa access ya kuangalia watoto wakali wakiwa na vichupi tu tena vimelowa? tena wakati mwingine kuna bonus ya kuvikanyaga vibibi vya kizungu wanaondoka hadi dola mia tano kwa siku.
Ubnaweza kuua mtu kwa hasira. Haya ndiyo maisha bora kwa kila Mtanzania. Na pia hizi ndio ajira alizotuahide mzee wa mbayuwayu.Nilipata taarifa kwamba watu wanaoanza kazi Whitesands hotel kama trainees wanalipwa sh 8,000/= sikuamini, nikafunga safari hadi hotelini, baada ya UCHUNGUZI wangu wa kina ninathibitsha kwamba WHITESANDS HOTEL wanaajiri watu (cleaners) wao anatumia neno trainees ili wasionekane kama wanafunzi lakini wanawatumia watu hawa kufanya kazi za usafi kwa ujira wa sh 8,000/= elfu nane tu kwa mweziHawa wanaoajiriwa ni watu wa hali ya chini sana ambao hawawazi hata kureport uonevu huu.Wabunge acheni kupitisha tu misamaha ya kodi, hebu fumbueni macho muone jinsi hali ilivo
Kwa nini? I hope its not what I am thinking "chabo".