Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

Kumbe mnaangalia sauti?
Sauti hata mbuzi anayo

Kwenye mziki Mimi siangalii sauti Bali mdundo na hisia iliyotumika katika wimbo husika kuufanya uwe bora

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mdundo tusiwape sifa waimbaji Bali sifa kwa ma producer. Tunaposhindanisha waimbaji kama mletamada alivyo leta,nadhani chakwanza tunaangalia vocals (sauti ) na utunzi,jengine labda anapokuwa jukwaani.Hiyo midundo yako hata MasterJ anafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stranger in the Moscow .. I'll be there . Just wanna be starting something .. scream . Billie jean. Who is it ... and so many many beautiful songs

Sent using Jamii Forums mobile app
I ' ll be there... jamani huu wimbo nikiufungulia huwa nawehuka...hakuna mwanamuziki yeyote duniani awe ke or me anamfikia/ kumsogelea hata kwa hatua 100

MJ ni habari nyingine...yaaan alikuwa anajua mpaka Sony wakamuewekea kauzibe, Motolla na wivu wake....I love u MJ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I ' ll be there... jamani huu wimbo nikiufungulia huwa nawehuka...hakuna mwanamuziki yeyote duniani awe ke or me anamfikia/ kumsogelea hata kwa hatua 100

MJ ni habari nyingine...yaaan alikuwa anajua mpaka Sony wakamuewekea kauzibe, Motolla na wivu wake....I love u MJ

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu kwenye hiyo I'll be there anasema ... if you should ever find someone new .. I know he better be good to you .course if he doesn't I'll be there.. yaani huwa haipiti siku mimi bila kuimba hiyo line ... naipenda mnoo aise

Imagine line kama hizo aliziimba akiwa mdogo kabisa

Daah Mj he was a magician

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Whitney Houston was beautiful and talented nasikia nyimbo zake zilikuwa zikitumika kuwaamsha wagonjwa walio kwenye coma situation.

Sent using Jamii Forums mobile app
na hata kupunguza depression kwa raia,
nilipata kusikia kuna mji fulani huko ulaya mtaa fulani walitumia baadhi ya nyimbo za Whitney Houston kila siku asubuhi na jioni.
 
Back
Top Bottom