Lala dogo ukue japo ujue kutofautisha wana mziki.
Sorry ni utani tu🙏🙏🙏
MJ noma kitu " smooth criminal"Mimi kwangu msanii mzuri wa muda wote wa marekani ni MJ
Sent from my SM-J530F using Tapatalk
Kama mdundo tusiwape sifa waimbaji Bali sifa kwa ma producer. Tunaposhindanisha waimbaji kama mletamada alivyo leta,nadhani chakwanza tunaangalia vocals (sauti ) na utunzi,jengine labda anapokuwa jukwaani.Hiyo midundo yako hata MasterJ anafanyaKumbe mnaangalia sauti?
Sauti hata mbuzi anayo
Kwenye mziki Mimi siangalii sauti Bali mdundo na hisia iliyotumika katika wimbo husika kuufanya uwe bora
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema kwa ubaya mkuu.......ofcoz kila mmoja atakufa hiyo ni lazima sio ombihujafa hujaumbika hata usipokuwa teja kifo kiko palepale
Sauda mambozHapa natizama wimbo wa celin dion unaitwa A new day has come, mzuri kweli
Jamani ... usijali hawachi mbona sijachukia mamie .. lol ondoa mashaka .. nili kujibu shortly kwa sabbu nilikuwa busy kidogoSorry ni utani tu[emoji120][emoji120][emoji120]
Baby nawewe itakuwa wame shakuvitisha bangi sio bure ...haha ... jamani mmesha niharibia ABJ wangu
Stranger in the Moscow .. I'll be there . Just wanna be starting something .. scream . Billie jean. Who is it ... and so many many beautiful songsMJ noma kitu " smooth criminal"
Annie are ok, are u okay Annie?....I love this song asee
Sent using Jamii Forums mobile app
I ' ll be there... jamani huu wimbo nikiufungulia huwa nawehuka...hakuna mwanamuziki yeyote duniani awe ke or me anamfikia/ kumsogelea hata kwa hatua 100Stranger in the Moscow .. I'll be there . Just wanna be starting something .. scream . Billie jean. Who is it ... and so many many beautiful songs
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu kwenye hiyo I'll be there anasema ... if you should ever find someone new .. I know he better be good to you .course if he doesn't I'll be there.. yaani huwa haipiti siku mimi bila kuimba hiyo line ... naipenda mnoo aiseI ' ll be there... jamani huu wimbo nikiufungulia huwa nawehuka...hakuna mwanamuziki yeyote duniani awe ke or me anamfikia/ kumsogelea hata kwa hatua 100
MJ ni habari nyingine...yaaan alikuwa anajua mpaka Sony wakamuewekea kauzibe, Motolla na wivu wake....I love u MJ
Sent using Jamii Forums mobile app
na hata kupunguza depression kwa raia,Whitney Houston was beautiful and talented nasikia nyimbo zake zilikuwa zikitumika kuwaamsha wagonjwa walio kwenye coma situation.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Baby nawewe itakuwa wame shakuvitisha bangi sio bure ...haha ... jamani mmesha niharibia ABJ wangu
Sent using Jamii Forums mobile app