Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

Celine Dion hana kipaji alichokuwa nacho Whitney Houston.


Habari wadau,kama ww ni mfuatiliaji wa muziki bila shaka utakuwa unawajua wanamuziki hawa.Je kwa mtazamo wako nani ana kipaji kuliko mwenzake?mimi kwa mtazamo wangu naonal Whitney houston ana kipaji kikubwa kuliko Celine Dion,wewe je unaonaje?
 
Itakuwa umerogwa wewe sio bure ... hahaaa haha yaani kuna wakumfananisha na Whitney kweli .. au mmevuta bangi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakunaa kituu hapoo kwa Huyo Whitney... Hata kanda bongo man mbona alikuwa fundiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mnajikuta wa zamani shwain..[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Whitney Houston was beautiful and talented nasikia nyimbo zake zilikuwa zikitumika kuwaamsha wagonjwa walio kwenye coma situation.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bhasi sisi tunawambia Nyie wazew wa zamanii mnaojikutaa Kwamba hatumjui whitney.. Celine dions ni wa zamani piaa lakini anajulikana mpaka leooo huyoo Whitney watu wa pori hukoo hawamjuiii kabisa.. Ilaa achana na Dions.. kwanza kuna kale ka msemo ka

SAUTI NZURI KAMA CELINE DIONS..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa bwana ... haha hebu twende google kwanza tukatizame nani mwenye record bora kabisa na matuzo ya kufa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe unasema tuzoo...!! Mnatuma nyimbo ambazo hata kuzisikia zinapigwa redioni ni mpaka anaepiga awe anafatilia mziki kwa ndani hasa.. Celine dions yanii kila Night vipind vya mapenzi lazima umsikieeee... Achana na dions..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…