nteze john lungu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 214
- 200
Try it on my own ndo iliwasha gari la uteja kwa whitney. All in all Whitney hakuna wa kumfananisha nae ni mwanamuziki bora kupata kutokea ni bahati mbaya tu alidondokea kwa mtoto wa kihuni BobyTry it on my own... Ni wimbo unonipa ari na kuamini mwanamke anaweza fanya lolote bila mwanaune..
Sent using Jamii Forums mobile app